Sodium 23
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 482
- 489
Nimefanya uchunguzi kwa mujibu wa siasa za Tanzania na siasa za mtukufu rais wetu. Ninatabiri kwamba atataifisha viwanja vyote vya mpira vilivyo chini ya CCM kabla ya 2019 na atavifanyia ukarabati mkubwa(tenda watapewa TBA kwa gharama ya bilioni 18 kila kiwanja). Baada ya ukarabati huo atakua anajipanga na kampeni za 2020. Kwenye uchaguzi wa 2020 atashinda zaidi ya 95% .