Utabiri: Rais Magufuli hatagombea tena 2020

mwekundu

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
21,859
19,700
Naam kama ambavyo niliweza kutabiri kurudi kwa lowasa kabla hata ya tetesi ..nimeanza kunusia tena kitu

Kuna uwezekano mkubwa mh Dr Magufuli akaachia nafasi na kupisha wengine ,pia kuna uwezekano mkubwa tena Team Lowasa ikafufuka na team Membe zikapambana tena ...silaha zitafutwa vumbi tena

Hii inaweza kuwa kama surprise tu ,na hii inatokana na trend reading na nature ya mtu mwenyewe kama anavyopenda kusema kaka pasco Mayalla

Hili suala kuna possibility ya masehabu ya watu wengi kuvurugika pia na kwa upande mwingine itaibua furaha kuu pia kwa upande ambao unaonekana kuumizwa na utawala uliopo madarakani ndani na nje ya chama

Ni hayo tu nawasilisha ,one term president

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi italipuka kwa vigelegele, vifijo na shangwe!

Lakini hali itakuwa ni ya majonzi makubwa na kilio na kusaga meno, kwa wale wanaongoza ile "praise team" kina Bashite, Munyeti's, Gambo's, Hapi's, Sabaya's na yule Mzee aliyetoa show moja na yule kibaka ghafla akawa marehemu, Mzee Chalamila's!
 
Naam kama ambavyo niliweza kutabiri kurudi kwa lowasa kabla hata ya tetesi ..nimeanza kunusia tena kitu

Kuna uwezekano mkubwa mh Dr Magufuli akaachia nafasi na kupisha wengine ,pia kuna uwezekano mkubwa tena Team Lowasa ikafufuka na team Membe zukapambana tena ...silaha zitafutwa vumbi tena

Hii inaweza kuwa kama surprise tu ,na hii inatokana na trend reading na nature ya mtu mwenyewe kama anavyopenda kusema kaka pasco Mayalla

Hili suala kuna possibility ya masehabu ya watu wengi kuvurugika pia na kwa upande mwingine itaibua furaha kuu pia kwa upande ambao unaonekana kuumizwa na utawala uliopo madarakani ndani na nje ya chama

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani, Sheikh Yahya si aliisharudi kwa Maulana? Na mimi nilihudhuria kabisa safari yake ya mwisho?
 
Naam kama ambavyo niliweza kutabiri kurudi kwa lowasa kabla hata ya tetesi ..nimeanza kunusia tena kitu

Kuna uwezekano mkubwa mh Dr Magufuli akaachia nafasi na kupisha wengine ,pia kuna uwezekano mkubwa tena Team Lowasa ikafufuka na team Membe zukapambana tena ...silaha zitafutwa vumbi tena

Hii inaweza kuwa kama surprise tu ,na hii inatokana na trend reading na nature ya mtu mwenyewe kama anavyopenda kusema kaka pasco Mayalla

Hili suala kuna possibility ya masehabu ya watu wengi kuvurugika pia na kwa upande mwingine itaibua furaha kuu pia kwa upande ambao unaonekana kuumizwa na utawala uliopo madarakani ndani na nje ya chama

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani miradi imekamilika?

duh...
P
 
Na iwe hivyo
 
Back
Top Bottom