Utabiri: PSG Ndio Mabingwa Wa UEFA Champions League 2021

mizuno

Senior Member
Mar 12, 2014
130
250
Kutolewa kivipi na nina wa kumtoa Chelsea mkuu? Uwezo wa Madrid ni mdogo sana ukilinganisha na Timu yetu pendwa kwa sasa The Blues wa London.
kwangu mimi kwa ubora nawapa nafasi Man City ila naona kitakachoenda kumnyima kombe mbele ya Chelsea ni kuingia kwenye mchezo wakiwa na presha kutopoteza fainali,labda itokee Chelsea awe hajamaliza ndani ya top 4 ategemee kubeba kombe ili apate kufuzu msimu ujao,lkn kama Chelsea atakuwa tayari yupo top 4 naona presha itakuwa zaidi kwa City na atafungwa.
 

kurlzawa

JF-Expert Member
Jan 23, 2018
15,939
2,000
hata mimi nimejiuliza huyu katazama mpira keenye channel gani mpaka anasema kawaona PSG wameupiga mwingi,kiufupi Pochettino anamjua vizuri Pep ndomaana aliamua kukabia 4-4-2 ili asiruhusu pasi za City kupenya kirahisi ndomaana mipira mingi ya City haikuwa na madhara japo walimiliki mpira kwa muda mwingi wa mchezo kabla ya dk 45 za kipindi cha pili.
umemaliza kila kitu
 

Dam55

JF-Expert Member
Oct 8, 2015
5,121
2,000
Chelsea akienda final akakutana na Man City hiyo game ndio itaisha first half, City bingwa.
Mbona kwenye nusu final ya FA game haikuisha first half ? Hadi wakafa 1bila?

Au man City walikuwa kwenye bonanza tu hawakuwa na shida na kombe la FA?

Mbona walihangaika sana na ToT kwenye final ya CA CUP juzi hapa hadi wakashinda kigoli kimoja kwa mbinde kwanini hawakuimaliza game first half?
 

dev senior

JF-Expert Member
Aug 12, 2012
402
500
Kuna watu hawaipendi City tu kwa roho zao mbaya,eti city ilizidiwa kipindi chote ila dakika 35 za mwisho, ukiuliza kama Man city ilizidiwa kipindi chote hicho mbona Psg ilishindwa kufunga magori hata matatu?watu wanaanza kusema magori yenyewe hayana radha utafikiri kile kilikuwa chakula Gladiola hana historia ya kufungwa hovyo, na timu yoyote za Uefa champions pale nyumbani kwake.
Wanaobisha labda hawakuangalia kabumbu. City wako very calm hata kama wamefungwa wanajua kucheza kwa heshima. Tofauti na bayern munichen, bayern ni aggressive mbele ya gori ila ukiwatupitia na kuwazidi uwezo unaanza kuona watu waliopagawa.

PSG atatolewa tu hawana ujanja mechi iliisha jana. Kupata goli moja kwa man City ni shughuli sio ndogo je, kupata goli mbili.
 

ze-dudu

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
14,985
2,000
Huyo PSG akija etihad hataamin kitakachomkuta ..


Huyo neymar kashazoea kudeka na kulia ,atalia machozi ya damu ..


Sisi man city tunacheza mpira wa kwenye kitabu ,imagine

.zincheko

Foden

Stone

Ni madogo ambao wanakiwasha bila kupoa ...

Camoon ze cityzen
Nikikumbuka lile shangwe baada ya kumfunga bayern halafu jana kafa ndio nawaona hawa jamaa ni malofa wa kutupa....

Pale england ana mlima mkubwa mno wa kupanda
 

kurlzawa

JF-Expert Member
Jan 23, 2018
15,939
2,000
Mbona kwenye nusu final ya FA game haikuisha first half ? Hadi wakafa 1bila?

Au man City walikuwa kwenye binanza tu hawakuwa na shida na kombe la FA?

Mbona walihangaika sana na ToT kwenye final ya CA CUP juzi hapa hadi wakashinda kigoli kimoja kwa mbinde kwanini hawakuimaliza game first half?
binanza
 

othuman dan fodio

JF-Expert Member
Jan 2, 2018
2,866
2,000
Timu bora kwa sasa ulaya ni.
1. Bayern Munich
2. Man City
3. PSG.
Psg Kamwondoa bingwa mtetezi, Munich, japo kwa upepo. Anakuja kukutana na timu bora baada ya Munich. ManCity. Hawa jamaa wapo vizuri sana. Psg hawana ubora wa city. Hii game ni ngumu ila naamini kwa 100% city anavuka hii round.
Madrid vs Chelsea hii game nayo ipo 50/50. Chelsea wamebadilika baada ya kumpata Tuchel, wanacheza mpira mzuri na wa kushambulia. Yeyote hapa anapita.

Fainal itakuwa ni City vs Madrid/chelsea. Na City anaibuka kidedea hapa.
Guandiolla anaenda kunyanyua kwapa baada ya kulikosa kombe kwa muda mrefu sana.
Kwapa atanyanyua kama anajipu atumbuliwe, madrid na fainali za uefa ni kama uji kwa mgonjwa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom