Utabiri: PSG Ndio Mabingwa Wa UEFA Champions League 2021

City anamaliza game na one short on target! hakuna cha tactics spot on wala nini, mmeuziwa game jana.

Kama TT anajua nini kiliwashinda kwa Leicester final ya FA Cup, na Aston Villa mkitafuta nafasi ya nne mpaka mkasaidiwa na Spurz!.
Kumbe wewe ni kichaa wa kubeti
 
No wazi kabisa huna unachokijua kuhusu mpira,kwamba Pep kawauzia Chelsea game ambayo ingecement legacy yake kama the best coach ever pale City?...hivi unajua kwa kiasi gani Pep analitaka like kombe ili kuwanyamazisha critics wake?...acha ubishi usio na tija,City jana walikuwa outsmarted na Chelsea!!
Uko sahihi Mkuu... Pep alizidiwa mbinu... Na Kante ndo alimvuruga kabisa....

Watu wanachopaswa kujua ni kuwa Fainali kila mtu huingia na mipango ya kunyanyua kombe...
 
Mtu kama ww ni harasa tosha.
City anamaliza game na one short on target! hakuna cha tactics spot on wala nini, mmeuziwa game jana.

Kama TT anajua nini kiliwashinda kwa Leicester final ya FA Cup, na Aston Villa mkitafuta nafasi ya nne mpaka mkasaidiwa na Spurz!.
 
Alikuwepo false 9 De Bruyne, haya maswali ya kitoto ulizaneni wenyewe.
Ukisema false 9 maana yake hakukuwa na striker. Tunataka Pure striker kama Jesus au Aguero.
Wewe ndio huelewi kabisa. Tangu lini De Bruyne akacheza 9. Na hapo ndipo Pep kajichanganya.
Kajifunze mpira wewe binti.
 
No wazi kabisa huna unachokijua kuhusu mpira,kwamba Pep kawauzia Chelsea game ambayo ingecement legacy yake kama the best coach ever pale City?...hivi unajua kwa kiasi gani Pep analitaka like kombe ili kuwanyamazisha critics wake?...acha ubishi usio na tija,City jana walikuwa outsmarted na Chelsea!!
Unawa-outsmart vipi opponent na timu ya majaribio ambayo hujawahi kuitumia kabla? habari ya legacy kama angekuwa serious nayo angejua umuhimu wa kuanza na holding midfilders ndio maana akawanunua Ferna na Rodri.

Huwezi cheza mpira wa kisasa bila holding midfilders, Guardiola kauza game kwa wachovu waliopigwa na Aston Villa wakitafuta nafasi ya nne mpaka wakabebwa na Spurz, najua hamuutaki huu ukweli unawauma ila ndio sindano yenyewe.
 
Ukisema false 9 maana yake hakukuwa na striker. Tunataka Pure striker kama Jesus au Aguero.
Wewe ndio huelewi kabisa. Tangu lini De Bruyne akacheza 9. Na hapo ndipo Pep kajichanganya.
Kajifunze mpira wewe binti.
Ndio mana nimekwambia tafuta watoto wenzio ubishane nao kuhusu haya mambo, unalazamisha kitu usichokijua hata hueleweki unaandika nini, hata false 9 hujui maana yake.

False 9 maana yake anasimama badala ya striker, ila hushuka chini kuchukua mipira then anapanda nayo, ndio maana hapakuwepo na Jesus au Aguero, alivyoumia De Bruyne ndio akaingia Jesus kama namba 9 halisi, msilazimishe kuropoka msivyovijua tulia ufundishwe wacha vikelele vya kitoto.
 
Kila mtu anajaribu kumshangaa Pep eti alipanga team mbovu. Hasn't it crossed your mind kwamba team selection yake ilikuwa nzuri tu ila Chelsea were just superior? kwamba hamjaona kabumbu alilotandaza Kante, Rudiger na Reece James?

Mnyonge mnyongeni ila Tuchel's tactics were spot on jana
Ila Mkuu, Kante ni zaidi ya Mtu

Sijui ile pumzi huwa anatoa wapi
 
Kila mtu anajaribu kumshangaa Pep eti alipanga team mbovu. Hasn't it crossed your mind kwamba team selection yake ilikuwa nzuri tu ila Chelsea were just superior? kwamba hamjaona kabumbu alilotandaza Kante, Rudiger na Reece James?

Mnyonge mnyongeni ila Tuchel's tactics were spot on jana
Wana macho ila hawaoni. Wamejitia upofu.

Mimi nashangaa wanavyojaribu kuwachambua city kama vile wana akili ya soka kumzidi Guardiola na staff yake!

Upuuzi mtupu! Kama mtu hujaangalia game ya jana halafu ukutane na hizi chambuzi za humu, unaweza kudhani Man City walicheza kama Gwambina!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Winning side never change" nilijua atapanga timu iliyomtoa Dortmund na PSG, na Dortmund ndio walikuwa wagumu zaidi yenu, mna bahati sana, mmeifunga City dhaifu no way out.

Umeburuzwa na Aston Villa juzi tu, nyie mlikuwa underdog Guardiola akawazawadia kombe.
Wewe ni mlevi wa betting. Ila sipati picha mikeka yako inavyochanika! Ni fedheha kwa hiyo Man City kuwa na shabiki kama wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
City anamaliza game na one short on target! hakuna cha tactics spot on wala nini, mmeuziwa game jana.

Kama TT anajua nini kiliwashinda kwa Leicester final ya FA Cup, na Aston Villa mkitafuta nafasi ya nne mpaka mkasaidiwa na Spurz!.
Hizo match za Aston Villa na Leicester hukuangalia ndio maana unaandika huu utumbo.

Backline yenu ni nyeupe sana. Kukaa kwenu na mpira ndio huwa kunawabeba. Otherwise jiulize kwanini sometimes hata Arsenal anakupiga ww? Leicester mwenyewe alikusokomeza goal 5.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom