Hayawi hayawi yamekuwa naweletea utabiri wa kweli kabisa kuwa Mh Nape Nauye Jembe anaandaliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM Taifa. CCM kinatambua Nape anakubalika sana ndani ya CCM, Chadema na hata kwa wasiokuwa na vyama hivyo CCM katika kujiimarisha kushika dola kwa miaka mingine 50 inamwandaa Nape kuwa Katibu Mkuu wake.
Huu uliopita ulikuwa upepo tu wa kisiasa wakuangalia ukomavu wa Nape katika siasa na jinsi anavyokubalika kwa CCM na hata kwa wasiokuwa wana CCM na ukweli umeonekana kuwa Nape Anatosha kuvaa viatu vya Kinana na kuingoza CCM katika Viwango vingine chini ya Mwenyekiti wake Mkakamavu Ndugu Mh Dr John P. Magufuli Rais wa Tanzania.
Kila la kheri Nape