Utabiri: Mkapa alimwandaa JK, Je JK anamwandaa nani kuwa commander in chief?

Fitinamwiko

JF-Expert Member
Aug 13, 2012
4,803
1,416
1) Kuna tunaodhani Mh Kabwe Zitto huenda likawa chaguo la JK baada ya vuguvugu la M4C kutishia amani ya CCM, tatizo litakuwa ushawishi ndani ya CC ya CDM kupitisha jina lake.

2) Wapo wanaodhani ni Mh Lowasa, kwa mkataba waliotiliana (hawakuonana barabarani na JK), lakini Jinsi Nape alivyomchafua EL na Mwenyekiti kukaa kimya? Pia kitendo cha JK kususia mwaliko wa harusi ya Binti wa Mh Lowasa, JK anajitafakari na kujishuku huenda EL anaweza lipiza kisasi baada ya kuhamia magogoni.

3) Kashfa lukuki zinazomkabili Mh Lowasa, matatizo ya kiafya yaliyomkumbai Mh Mwandosa, Msimamo mkali unaofanana na wa CDM aliouonyesha Mh Sitta wakati wa Uspika, Uwezo mdogo wa uongozi na kutokujiamini katika siasa za kimataifa kulivyodhihirishwa na Dr. Migiro huko UN pamoja na jinsia yake. Kushindwa kuwakemea Uhamisho, Viongozi waandamizi wa CCM na baraza la mapinduzi kupinga muunganopamoja na baadhi ya waasisi, umakini wa Dr Shein umekuwa ? Mh Membe na Dr Nchimbi labda ndio chaguo mbadala la JK?
 
kwanza rekebisha title yako..mkapa hakumuandaa jk ila alizidiwa nguvu na wanamtandao dakika za mwisho,chaguo la mkapa alikuwa sumaye...na kwa taarifa yako commander in chief come 2015 hatoki ccm
2015 Rais wa Tanzania atatoka CCM. Maandalizi ya kuing'oa CCM madarakani bado hayajakamilika. Kuna kazi kubwa ya kufanya kwenye vyombo vya DOLA. Tuombe Mungu KATIBA MPYA itusaidie katika hili. Tupate katiba kama ile ya Kenya.
 
1) Kuna tunaodhani Mh Kabwe Zitto huenda likawa chaguo la JK baada ya vuguvugu la M4C kutishia amani ya CCM, tatizo litakuwa ushawishi ndani ya CC ya CDM kupitisha jina lake.

2) Wapo wanaodhani ni Mh Lowasa, kwa mkataba waliotiliana (hawakuonana barabarani na JK), lakini Jinsi Nape alivyomchafua EL na Mwenyekiti kukaa kimya? Pia kitendo cha JK kususia mwaliko wa harusi ya Binti wa Mh Lowasa, JK anajitafakari na kujishuku huenda EL anaweza lipiza kisasi baada ya kuhamia magogoni.

3) Kashfa lukuki zinazomkabili Mh Lowasa, matatizo ya kiafya yaliyomkumbai Mh Mwandosa, Msimamo mkali unaofanana na wa CDM aliouonyesha Mh Sitta wakati wa Uspika, Uwezo mdogo wa uongozi na kutokujiamini katika siasa za kimataifa kulivyodhihirishwa na Dr. Migiro huko UN pamoja na jinsia yake. Kushindwa kuwakemea Uhamisho, Viongozi waandamizi wa CCM na baraza la mapinduzi kupinga muunganopamoja na baadhi ya waasisi, umakini wa Dr Shein umekuwa ? Mh Membe na Dr Nchimbi labda ndio chaguo mbadala la JK?
Nadhani CCM kina mfumo wake wa kupata mgombea Urais, Rais haandaliwi kama ambavyo CDM wanafanya tangu mwaka 2010 kila mtu anajua mgombea ni SLAA jambo linawapa shida sana watu wengine wenye sifa zaidi ya SLAA na kujiona kama Majogoo ambayo yanazuiwa kuwika wakati tayari yana nafasi nzuri tu ya kufanya hivyo.
 
1) Kuna tunaodhani Mh Kabwe Zitto huenda likawa chaguo la JK baada ya vuguvugu la M4C kutishia amani ya CCM, tatizo litakuwa ushawishi ndani ya CC ya CDM kupitisha jina lake.

2) Wapo wanaodhani ni Mh Lowasa, kwa mkataba waliotiliana (hawakuonana barabarani na JK), lakini Jinsi Nape alivyomchafua EL na Mwenyekiti kukaa kimya? Pia kitendo cha JK kususia mwaliko wa harusi ya Binti wa Mh Lowasa, JK anajitafakari na kujishuku huenda EL anaweza lipiza kisasi baada ya kuhamia magogoni.

3) Kashfa lukuki zinazomkabili Mh Lowasa, matatizo ya kiafya yaliyomkumbai Mh Mwandosa, Msimamo mkali unaofanana na wa CDM aliouonyesha Mh Sitta wakati wa Uspika, Uwezo mdogo wa uongozi na kutokujiamini katika siasa za kimataifa kulivyodhihirishwa na Dr. Migiro huko UN pamoja na jinsia yake. Kushindwa kuwakemea Uhamisho, Viongozi waandamizi wa CCM na baraza la mapinduzi kupinga muunganopamoja na baadhi ya waasisi, umakini wa Dr Shein umekuwa ? Mh Membe na Dr Nchimbi labda ndio chaguo mbadala la JK?

Huku sasa kutapatapa, yaani ya CDM mnahamishia kwenye chama makinia chenye mfumo unaoeleweka katika kuwapata viongozi wake.
 
2015 Rais wa Tanzania atatoka CCM. Maandalizi ya kuing'oa CCM madarakani bado hayajakamilika. Kuna kazi kubwa ya kufanya kwenye vyombo vya DOLA. Tuombe Mungu KATIBA MPYA itusaidie katika hili. Tupate katiba kama ile ya Kenya.

Kinachong'oa chama madarakani ni malengo ya vyama pinzania yakiambatana na vitendo si kwa propaganga, majungu, fitina, vurugu, visasi na dhihaka kwa serikali halali iliyoko madarakani. CDM mbona wataisoma namba kwa haya mambo yao yasiyo na mwelekeo. Wenzao CCM mwendo mdundo kuhakikisha huduma muhimu zinawafikia wananchi.
 
Rejea maoni ya Mh Kiula, kuhusu Mama na Riz1 kugombea uongozi, kupitishwa bila ya kupingwa nao ni mfumo gani?

Hatuwezi kuacha kumchagua mtu kwa sababu eti ndugu yake ni Kiongozi wa ngazi ya juu ili mradi tu anasifa za kuchaguliwa. Kuwa mke wa Rais ama Mtoto wa Rais siyo kikwazo, lakini isizidi kama ambavyo CDM wamezoea.
 
Kinachong'oa chama madarakani ni malengo ya vyama pinzania yakiambatana na vitendo si kwa propaganga, majungu, fitina, vurugu, visasi na dhihaka kwa serikali halali iliyoko madarakani. CDM mbona wataisoma namba kwa haya mambo yao yasiyo na mwelekeo. Wenzao CCM mwendo mdundo kuhakikisha huduma muhimu zinawafikia wananchi.
Kama CCM itaruhusu usawa na haki itendeke 2015, huo ndio mwisho wake.
 
2015 Pakiwa na free and fair election kwa mara ya kwanza RAIS Tz atatoka chama cha upinzani! nimutazamo tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom