Utabiri: Kuna wanachama wakongwe na waandamizi wanaona mbali watajitoa CCM wakati wowote

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
Hawa ni wale ambao hawana njaa na baadhi yao bado wana political ambition zao ambazo ili kuzitekeleza,ni lazima kuwe na demokrasia ndani ya chama na kusiwe na mtu mmoja ambae anaweza kuwa na maamuzi ya peke yake.

Watu hawa ni wale ambao pia wanaamini ni lazima vyama vya upinzani viwepo ili wasiwe watumwa wa chama kimoja/mtu mmoja.

Wanasiasa hawa wakongwe na ambao baadhi yao mwaka 2015 walikuwa na nia ya kugombe nafasi ile nyeti na kubwa kupitia CCM sidhani kama watafurahia haya yanayoendelea kwasababu wanajua nini yatakuwa matokeo ya kuwa na chama kimoja chenye nguvu na hasa pale panakouwa na viashiria vya mtu mmoja kuwa na nia ya kudhibiti wanzake kwa kila kitu.

Hali hii ni tishio kwao kisiasa na zaidi ni tishio kwa ambiton zao hivyo wataona kuna umuhimu wa kutafuta fursa nje ya CCM lakini ni shariti kwanza wajitoe CCM ili wakaimarishe upinzani.

Tukumbuke teyari kuna wanasiasa waandamizi ambao waliahania upinzani mwaka 2015 baada ya kuona hawakutendewa haki na hivyo kuna uwezekana mkubwa wanasiasa hawa wakongwe ambao teyari wako upinzani kushirikiana na wanasiasa wakongwe ambao bado wako CCM katika kufanikisha hili.

Kumbukeni tu kuna mwanasiasa mmoja mkongwe na aliewahi kuongoza mhimili mmoja alipinga wazi wazi ule mpango mchafu wa kutaka kuongeza muda wa uraisi wa kikatiba kutoka miaka 5 ya sasa na kuwa miaka 7.

Kwa mtazamo wangu,hili likitokea kama navyotabiri hapa,basi ile kauli ya baba wa Taifa kuwa upinzani wa kuitoa CCM madarakani utatokana na CCM yenyewe ndio itakuwa imetimia.

Vile vile hawa wanasiasa vijana wanaohamia CCM leo hii wengi wanatafuta fursa/ maisha na haiwezekani wote wakafanikiwa hivyo baadhi yao watakuja kurudi upinzani na hata kama kuna chochote wamepewa baada ya muda hawatakuwa nacho na watataka tena kurudi upinzani kutafuta nafasi za kugombea na kwa kufanya hivyo watakuja kuungana na wanasiasa hawa wakongwe waliomua kuhamia upinzani.

Vile vile wanaoenda CCM leo hii wanatishia masilahi ya wale ambao teyari wako CCM na walioko CCM wakiona masilahi yao hayalindwi basi hawatasita kuhamia upinzani ili kutafuta fursa na kwa kufanya hivyo nao pia watakuja kuongeza nguvu kwenye kundi hili la wanasiasa wakongwe watakaokuwa wamejitoa CCM kwa lengo la kutimiza ambition zao za kisiasa wakiwa nje ya CCM.

Nasisitiza,wanasiasa hawa wakijazana CCM huku wote wanatafuta fursa kamwe hawawezi kuwa kitu kimoja kwasababu kila mtu anataka madaraka na waliohama kwa kupewa chochote(kama wapo) baada ya muda watakuwa wameishiwa na wao wataanza tena kusaka fursa au madaraka na haiwezekani kuridhisha wote na huu ndio utakuwa mwanzo wa uasi wao na kuja kujiunga na hawa wakongwe ambao wao hawana njaa kama za wanasiasa hawa vijana bali njaa yao wao na ni kushika nafasi zile nyeti na za juu katika nchi.

Time will telll.
 
Fursa ndiyo kigezo cha wanasiasa wengi tulionao.

Upinzani sio pa mchezo mchezo kama mtu kazoea kuneemeshwa upinzani hapawezi. Msione kina Lissu wanahangaika na polisi mfikiri kina nanii watataka kiurahisi kuhamia CHADEMA.

Wapo radhi waburuzwe huko walipo ila sio kuhamia.

Kuwa mpinzani Afrika ni zaidi ya kujitoa.
 
Mkuu kumbe unatabiri!!! Basi endelea kutabiri......!!
 
jifanye ku pre-empty kinachoendelea huko kwa Makarai ya zege, utashindwa mwenyewe
 
Fursa ndiyo kigezo cha wanasiasa wengi tulionao.

Upinzani sio pa mchezo mchezo kama mtu kazoea kuneemeshwa upinzani hapawezi. Msione kina Lissu wanahangaika na polisi mfikiri kina nanii watataka kiurahisi kuhamia CHADEMA.

Wapo radhi waburuzwe huko walipo ila sio kuhamia.

Kuwa mpinzani Afrika ni zaidi ya kujitoa.
Kweli brother
 
Endelea Kunywa Viroba nakuota kila kukicha
Mugabe wa Bongo AkA Mbowe
Anawadanganya mtatumika sana lakini kamwe
CDM haita pata kushika Nchi hii
 
Chadema kinapitia hali iliyopita TLP na NCCR lazima chadema kife mlivuma sasa mnaenda kusahaulika
Tafakari :
Vikifa vyama vyote vya UPINZANI ndio utakuwa upinzani umekufa?
Kama ndivyo nafasi/ kazi ya wapiga debe na wapiga makofi wa ndiyo ndiyooo...itakuwaje?
 
Kuwa mpinzani Africa ni sawa na kuwa Jambazi.
Angalieni chi zote za Africa.
Angalieni Kina Grace wanavyosumbua jamii
 
Hawa ni wale ambao hawana njaa na baadhi yao bado wana political ambition zao ambazo ili kuzitekeleza,ni lazima kuwe na demokrasia ndani ya chama na kusiwe na mtu mmoja ambae anaweza kuwa na maamuzi ya peke yake.

Watu hawa ni wale ambao pia wanaamini ni lazima vyama vya upinzani viwepo ili wasiwe watumwa wa chama kimoja/mtu mmoja.

Wanasiasa hawa wakongwe na ambao baadhi yao mwaka 2015 walikuwa na nia ya kugombe nafasi ile nyeti na kubwa kupitia CCM sidhani kama watafurahia haya yanayoendelea kwasababu wanajua nini yatakuwa matokeo ya kuwa na chama kimoja chenye nguvu na hasa pale panakouwa na viashiria vya mtu mmoja kuwa na nia ya kudhibiti wanzake kwa kila kitu.

Hali hii ni tishio kwao kisiasa na zaidi ni tishio kwa ambiton zao hivyo wataona kuna umuhimu wa kutafuta fursa nje ya CCM lakini ni shariti kwanza wajitoe CCM ili wakaimarishe upinzani.

Tukumbuke teyari kuna wanasiasa waandamizi ambao waliahania upinzani mwaka 2015 baada ya kuona hawakutendewa haki na hivyo kuna uwezekana mkubwa wanasiasa hawa wakongwe ambao teyari wako upinzani kushirikiana na wanasiasa wakongwe ambao bado wako CCM katika kufanikisha hili.

Kumbukeni tu kuna mwanasiasa mmoja mkongwe na aliewahi kuongoza mhimili mmoja alipinga wazi wazi ule mpango mchafu wa kutaka kuongeza muda wa uraisi wa kikatiba kutoka miaka 5 ya sasa na kuwa miaka 7.

Kwa mtazamo wangu,hili likitokea kama navyotabiri hapa,basi ile kauli ya baba wa Taifa kuwa upinzani wa kuitoa CCM madarakani utatokana na CCM yenyewe ndio itakuwa imetimia.

Vile vile hawa wanasiasa vijana wanaohamia CCM leo hii wengi wanatafuta fursa/ maisha na haiwezekani wote wakafanikiwa hivyo baadhi yao watakuja kurudi upinzani na hata kama kuna chochote wamepewa baada ya muda hawatakuwa nacho na watataka tena kurudi upinzani kutafuta nafasi za kugombea na kwa kufanya hivyo watakuja kuungana na wanasiasa hawa wakongwe waliomua kuhamia upinzani.

Vile vile wanaoenda CCM leo hii wanatishia masilahi ya wale ambao teyari wako CCM na walioko CCM wakiona masilahi yao hayalindwi basi hawatasita kuhamia upinzani ili kutafuta fursa na kwa kufanya hivyo nao pia watakuja kuongeza nguvu kwenye kundi hili la wanasiasa wakongwe watakaokuwa wamejitoa CCM kwa lengo la kutimiza ambition zao za kisiasa wakiwa nje ya CCM.

Nasisitiza,wanasiasa hawa wakijazana CCM huku wote wanatafuta fursa kamwe hawawezi kuwa kitu kimoja kwasababu kila mtu anataka madaraka na waliohama kwa kupewa chochote(kama wapo) baada ya muda watakuwa wameishiwa na wao wataanza tena kusaka fursa au madaraka na haiwezekani kuridhisha wote na huu ndio utakuwa mwanzo wa uasi wao na kuja kujiunga na hawa wakongwe ambao wao hawana njaa kama za wanasiasa hawa vijana bali njaa yao wao na ni kushika nafasi zile nyeti na za juu katika nchi.

Time will telll.
Makamanda Sasa hivi mnaona nyota nyota tu siyo kwa kasi ya makamanda wenzenu kujiondoa
 
Hata Mugabe alikuwa na kiburi kama cha CCM ile leo yuko wapi?
Kumbuka ZANU-PF ndiyo chama tawala huko Zimbabwe. Ameondoka Mugabe lakini ZANU-PF inaendelea kutawala. Magufuli atamaliza muda wake Na mwanaccm mwingine atakamata urais... makamanda poleni sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom