Utabiri: Kuna kipa atamaliza mzunguko wa kwanza bila kuruhusu goli; kuna timu haitapoteza mchezo ndani ya mzunguko pia

desayi

JF-Expert Member
Aug 27, 2017
1,398
2,000
Yaani mechi nne ndo mmeanza kuuota ubingwa ya msimu ulioisha mmeyasahau
 

ngajapo

JF-Expert Member
Jun 3, 2012
845
1,000
utopolo kweli ni manyani aisee! tabia ya nyani ni usahaulifu, hukumbuka kujenga nyummba akiwa ananyeshewa na mvua. ikikata tu anaendelea kusherehekea jua. sashivi tayari mmeshasahau yote ya nyuma lkn yakianza tu kujirudia mnaanza kuparuana na viongozi wenu
 

Satan

JF-Expert Member
Aug 9, 2017
550
500
Lakini haya mambo hayanaga formula.

Mzunguko wa pili tu akiruhusu goli moja ndio inakuwa fungulia mbwa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom