Utabiri katika sanaa ya katuni: Tanzania kuendelea kuwa chini ya mkono wa chuma

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
39,900
95,400
654322100.jpg
 
Anaomba bunduki akawashoot waliojisainisha mikataba ya madini sio?
 
Mimi naona tafsiri yake ni kwamba kuna Watu wanamsumbua mama (Hao kunguru wanaoruka kwa uekekeo wa kumnyakua)hivyo itabidi apate sapoti ya jeshi ili awe Salama, ndio maana anaomba kupewa nguvu (gun)
mkuu hapo unaona kunguru kabisa😄😄😄😆😆😆😀
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom