Utabiri: Julius Mtatiro kutua CHADEMA soon, ACT wazalendo kubeba wanachama lukuki wa CUF

Eberhard

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
1,120
757
Ni wazi kuwa hali CUF siyo swali. Lipumba anaungwa mkono na serikali ya ccm na wanachama wengi zaidi bara.

Ni wazi kuwa mlango pekee wa mtatiro kukimbilia ni Chadema.

Hivyo natabiri Julius Mtatiro ataikimbia CUF soon.

Natabiri CUF ya Lipumba itakuwa haina mvuto tena hivyo kupoteza mwelekeo.a

Hata hivyo natabiri chama cha ACT wazalendo kitanufaika zaidi na vita hii ba kuchukua wanachama wengi wa CUF watakaokosa mwelekeo baada ya chama kuvunjika.
 
Lipumba Bara Hana Mpango Juzi Tu Katimuliwa Ruangwa Lindi Video Hii Hapa.

Lindi Mjini Kakataliwa na Liwale.
Kusini Lipumba Hana Chake .
 
mkuu .... umeacha ufugaji wa Noah ? ni afadhali uendelee na ufugaji ..... hii ya utabiri wa siasa za watu umeingia pabaya
 
Ni wazi kuwa hali CUF siyo swali. Lipumba anaungwa mkono na serikali ya ccm na wanachama wengi zaidi bara.

Ni wazi kuwa mlango pekee wa mtatiro kukimbilia ni Chadema.

Hivyo natabiri Julius Mtatiro ataikimbia CUF soon.

Natabiri CUF ya Lipumba itakuwa haina mvuto tena hivyo kupoteza mwelekeo.a

Hata hivyo natabiri chama cha ACT wazalendo kitanufaika zaidi na vita hii ba kuchukua wanachama wengi wa CUF watakaokosa mwelekeo baada ya chama kuvunjika.
Huo unaiwa Utabiri wa Mamlaka ya Hewa Tanzania... hususani ile mamlaka ya zamani! Wanaona kabisa wingu limetanda totoro pande za Kigamboni na Kimara halafu wanasema "utabiri unaonesha kutakuwa na mvua sehemu kadhaa za jiji la Dar es salaam... acha habari zenu bhana!

Tabiri Tulia Ackson anahamia CHADEMA hapo kweli nitakuona we jamaa kiboko... hata asipohamia; bado nitakukubali tu! Au tabiri Tundu Lissu anahamia CCM hapo kweli nitakuona we jamaa nyoko...
 
Back
Top Bottom