Utabiri: January Makamba atakuja kuwa Rais miaka michache ijayo...

Actually anaweza kuja Rais tusiemtarajia na akaja kuwa zaidi ya JPM kwa kukomesha watu..
Hakunaga mtabiri wa Future mwenye accuracy ya uhakika.....
A lot depends with a lot of things
 
Sasa ili uwe kiongozi ni lazima uwe na hiyari ya wananchi. Huyu tayari ana madoa mengi sana yanayomnyima uhalali wa kuwa rais hata uwaziri mkuu tu.

Kimsingi hafai. Na akijaribu kulazimisha vitamtokea puani.
 
Mkuu wanasafishwaga hawa utamuona nuru Kuna vitengo hatari
 
Kama muijuavyo nchi yetu, nimekuwa nikim-trace January na 'trajectories' zake zote, na kuona kuwa anapikwa muda huu ninapoandika haya ili aje kuwa Rais wa nchi hii. Sisemi kwa kubahatisha ila naona hata Uwaziri aliopewa ni kwa mkakati maalumu, na si bure.!

Tutarajie lolote kwa wakati huu, keep my words brothers.! JM is gonna be the President of this wealthy state!

Sipo upande wa chama chochote ila kwa dalili hizi za wazi zinazoonekana, ni WAZI JM anakwenda kuwa Mkuu wa nchi. Like it or not, believe it or not.!
Labda Rais wa Wasafi,
 
Kama ni hivyo ngoja niweke stoko ya majenereta, utawala wa makamba majenereta yatakuwa dhahabu, haiwezekani mtu hajamaliza hata mwezi ktk hyo wizara tayari mgao wa umeme ukaanza.
 
Kama muijuavyo nchi yetu, nimekuwa nikim-trace January na 'trajectories' zake zote, na kuona kuwa anapikwa muda huu ninapoandika haya ili aje kuwa Rais wa nchi hii. Sisemi kwa kubahatisha ila naona hata Uwaziri aliopewa ni kwa mkakati maalumu, na si bure.!

Tutarajie lolote kwa wakati huu, keep my words brothers.! JM is gonna be the President of this wealthy state!

Sipo upande wa chama chochote ila kwa dalili hizi za wazi zinazoonekana, ni WAZI JM anakwenda kuwa Mkuu wa nchi. Like it or not, believe it or not.!
Tanesco tu imemshinda tunalala giza nchi unafikiri ataweza sasa?
 
Kama muijuavyo nchi yetu, nimekuwa nikim-trace January na 'trajectories' zake zote, na kuona kuwa anapikwa muda huu ninapoandika haya ili aje kuwa Rais wa nchi hii. Sisemi kwa kubahatisha ila naona hata Uwaziri aliopewa ni kwa mkakati maalumu, na si bure.!

Tutarajie lolote kwa wakati huu, keep my words brothers.! JM is gonna be the President of this wealthy state!

Sipo upande wa chama chochote ila kwa dalili hizi za wazi zinazoonekana, ni WAZI JM anakwenda kuwa Mkuu wa nchi. Like it or not, believe it or not.!
Wakati mimi naona afikishi miaka 10 ijayo.
 
Kima
 
Actually anaweza kuja Rais tusiemtarajia na akaja kuwa zaidi ya JPM kwa kukomesha watu..
Hakunaga mtabiri wa Future mwenye accuracy ya uhakika.....
A lot depends with a lot of things
Kwa jinsi mambo yanavyoenda atakuja JPM prt 2na wasipobadili katiba mapema watu wengi watapotea.
 
Umeme umeme yaan alipoingia tu January makamba nikajua shida zimeanza tena upya tatzo lake anavunga yuko smart sana wakati siyo kweli, umeme, machinga , mfumko wa bei , vifaa vya ujenzi kuwa juu na hali ya ukosefu wa ajira ni tatzo linalokua kwa kasi sana kweny hii nchi na lazima litaleta shida tu
 
Inawezekana. Lakini je, kama tangu achukue usukani Tanesco imegeuka kuwa "full mgao" atakubalika kwenye urais?
 
Sisi ni MUNGU tu ndiye afisa mipango wetu maana anajua kweli..
Nadhani umenielewa..
Maana naona wapiga zumari mmeanza tena,na hamkomi
Mmefeli kwa yule mnarudi kwa huyu..
 
Watamsafisha kwa tunayoyajua itakuwa ngumu sana kwanza mziki unaanza hiyo 2025.
Rudi kwenye uhalisia ambao ni Ccm itatoa raisi wa nchi tena. Haijalishi ni nani watamuweka. Atakuwa labda wananchi waamue vinginevyo, ila wananchi wapi hao wa kuamua vinginevyo😀?
 
Back
Top Bottom