Utabiri: January Makamba atakuja kuwa Rais miaka michache ijayo...

Zee Korofi

JF-Expert Member
Oct 5, 2021
1,612
1,410
Kama muijuavyo nchi yetu, nimekuwa nikim-trace January na 'trajectories' zake zote, na kuona kuwa anapikwa muda huu ninapoandika haya ili aje kuwa Rais wa nchi hii. Sisemi kwa kubahatisha ila naona hata Uwaziri aliopewa ni kwa mkakati maalumu, na si bure.!

Tutarajie lolote kwa wakati huu, keep my words brothers.! JM is gonna be the President of this wealthy state!

Sipo upande wa chama chochote ila kwa dalili hizi za wazi zinazoonekana, ni WAZI JM anakwenda kuwa Mkuu wa nchi. Like it or not, believe it or not.!
 
Rais wa Wasafi.
Endelea na mahaba.
Ila hata hivyo si shangai marais wapo wengi kuna wa CHANETA, MEWATA nk may be huko anaweza kupata urais.
 
Kama muijuavyo nchi yetu, nimekuwa nikim-trace January na 'trajectories' zake zote, na kuona kuwa anapikwa muda huu ninapoandika haya ili aje kuwa Rais wa nchi hii. Sisemi kwa kubahatisha ila naona hata Uwaziri aliopewa ni kwa mkakati maalumu, na si bure.!

Tutarajie lolote kwa wakati huu, keep my words brothers.! JM is gonna be the President of this wealthy state!

Sipo upande wa chama chochote ila kwa dalili hizi za wazi zinazoonekana, ni WAZI JM anakwenda kuwa Mkuu wa nchi. Like it or not, believe it or not.!
JM presidar,Liz Liz PM,
 
Kwa sasa mama kaingia sub kuchukua nafasi ya Pepe ambae alicheza rafu na kuwa mchoyo wa pasi, mama atapiga pass moja ndefu kwenda kwa Membe alafu Membe atapiga cross moja matata kwa Makamba.

Yani hapa iwe isiwe, Lazima Makamba apate uraisi na huyu Ridhwan ni swala la muda tu, Ridhwan atapata uwaziri mkuu japo huwa hana damu ya uongozi kama mshua wake
 
so mama anaupiga mwingi mi natamani mama akae miaka yote aisee yuko poa sana au nasema uongo ndugu zanguuuuu
 
Kama muijuavyo nchi yetu, nimekuwa nikim-trace January na 'trajectories' zake zote, na kuona kuwa anapikwa muda huu ninapoandika haya ili aje kuwa Rais wa nchi hii. Sisemi kwa kubahatisha ila naona hata Uwaziri aliopewa ni kwa mkakati maalumu, na si bure.!

Tutarajie lolote kwa wakati huu, keep my words brothers.! JM is gonna be the President of this wealthy state!

Sipo upande wa chama chochote ila kwa dalili hizi za wazi zinazoonekana, ni WAZI JM anakwenda kuwa Mkuu wa nchi. Like it or not, believe it or not.!
Hawezi kuwa Rais.
 
Sisi binadamu tuna mipango yetu, tena mingi ni ya hovyo hovyo tu. Lakini yupo mwenye Enzi Yote Mungu Muumba wa mbingu na nchi na yeye ana Mipango yake!!! ambayo hakuna binadamu yeyote anaweza kuizuia au kuipangua.... mwenye ufahamu na aelewe hiki nilichokiandika.

Tunao msemo wa Kiswahili unaosema "Maji ukiyakamia sana utashindwa kuyanywa". Mkumbukeni Edward Lowassa.
 
Hakuna unabii mwepesi kama huuu..
Alieshindwa katika uwaziri awezaje kushinda kuwa rais,
Hpa labda unazungumzia urahisi na sio U Rais
 
Back
Top Bottom