Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,988
- 22,379
Kumbe kote kote uko fit
Kumbe kote kote uko fit
Man u anapindua matokeo camp nu, barcelona hana chochote cha kumzuia man u kupita
Kama ni kwa kikosi kile cha Man Utd kaa endelea kujiliwaza maana mukiendelea kuwaza mtakufa siku si zenu.. Barca sio PSG wale.. Hispania ni full mziki akitoka mtu anaingia mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kwa tathmini ndogo isiyotumia nguvu nyingi ya akili, ubora wa kikosi walichonacho Barca unaweza kulinganisha na PSG & JUVENTUS?Mlisema hivyo hivyo kwa psg, juventus...ngoja tuone
Hongeraaa
naona mkuu una mahaba kupitiliza.Hiyo hiyo kaka anaenda kupindua tokeo camp new kibabe
God first
Hujui ata fainal inachezeka wapi au umekalili kiwanja pekee kilicho katika jiji la Madrid ni bernabeu?Manchester United atamtandika Liverpool nusu fainali huku Tottenham ikitandikwa na Juventus nusu fainali ya pili
Tukutane benabuu
God first
Camp now sio newHiyo hiyo kaka anaenda kupindua tokeo camp new kibabe
God first
Tell herHahahahahahahahaha nimecheka mpaka majirani wamestuka .....
Kingine Mimi ni ke uwe unaangalia na avatar....
Hilo LA kupindua meza sahau ...hii mnapigwa nje ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka mke na mm naweka mke kumfunga barca camp now ni ngumu kama ngamia kupita kwenye tundu la sindano hadi zikibak dak 3 mnaongoza goal 4 zinaweza rudiMan u anapindua matokeo camp nu, barcelona hana chochote cha kumzuia man u kupita
Camp Now ndio wapi??Afghanistan??kama ni uwanja wa Barcelona unaitwa Nou Camp