BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,020
- 8,480
Mimi na wewe nani yupo sahihi?
God first
Wote mmekosea, ni Camp Nou....
Kesho mtatafunwa na usionekane humu....
Mimi na wewe nani yupo sahihi?
God first
Mimi ni man united ila natabiri final ni Liverpool vs????.Then Liverpool anabeba ndoo.
2005 walibeba ,hawana mikosi bwana.Wazee wa mikosi hao hawabebi....
Final.....BARCA <> Man city/Juve
Barca anabeba...
2005 walibeba ,hawana mikosi bwana.
Manchester United atamtandika Liverpool nusu fainali huku Tottenham ikitandikwa na Juventus nusu fainali ya pili
Tukutane benabuu
God first
Liverpool sio rahisi kwenda fainaliMimi ni man united ila natabiri final ni Liverpool vs????.Then Liverpool anabeba ndoo.
Wazee wa mikosi hao hawabebi....
Final.....BARCA <> Man city/Juve
Barca anabeba...
Mimi sijakosea nou in English is NewWote mmekosea, ni Camp Nou....
Kesho mtatafunwa na usionekane humu....
Ndoto?
Hahahaaa baada ya hapo, hata europa tu walishindwa 😁😁😁 epl pia sidhani kama washawahi kubeba...
Mimi sijakosea nou in English is New
God first
Sasa hapa inazungumzwa UEFA au EPL?
Camp nou is a spanic word which means new field in EnglishKwahiyo NOU maana yake NEW?
Nipo nje ya mada kidogo...
Camp nou is a spanic word which means new field in English
Mbona vitu vidogo unashindwa Elewa kaka
God first
Uko Sahihi kiongozi,tatizo uhenga unatusumbua,Wahenga tulizoea tangu Adam na Hawa Kuuita Nou Camp ambako kwa wakati ule ilikuwa ni sahihi mpaka ilipopitishwa "juzi tu" mwaka 2001 kuwa uwanja officially utaitwa Camp Nou.Hata hivyo nakushukuru kuinyoosha taarifa yanguTilly nawewe pia umekosea 😀😀....ni Camp Nou
Wahenga tulizoea tangu Adam na Hawa Kuuita Nou Camp ambako kwa wakati ule ilikuwa ni sahihi mpaka ilipopitishwa "juzi tu" mwaka 2001 kuwa uwanja officially utaitwa Camp Nou.