Utabiri.Fainali ya UEFA ni Manchester United vs Juventus


13 mega pixel

13 mega pixel

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Messages
5,826
Points
2,000
13 mega pixel

13 mega pixel

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2013
5,826 2,000
Kama ni kwa kikosi kile cha Man Utd kaa endelea kujiliwaza maana mukiendelea kuwaza mtakufa siku si zenu.. Barca sio PSG wale.. Hispania ni full mziki akitoka mtu anaingia mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mlisema hivyo hivyo kwa psg, juventus...ngoja tuone
 
doup

doup

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2009
Messages
1,728
Points
2,000
doup

doup

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2009
1,728 2,000
Tabiri kama hizi hutokea miaka mingi sana inayokuja. Generation yetu ya Tano yetu nyakati hizi za mbele itarudu na kukwarura JF na kuthibitisha utabiri huu.

Kwani naamini kizazi hikikutapita kwa hilo kutokea不
 
kurlzawa

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Messages
5,523
Points
2,000
kurlzawa

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2018
5,523 2,000
Manchester United atamtandika Liverpool nusu fainali huku Tottenham ikitandikwa na Juventus nusu fainali ya pili

Tukutane benabuu

God first
Hujui ata fainal inachezeka wapi au umekalili kiwanja pekee kilicho katika jiji la Madrid ni bernabeu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kurlzawa

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Messages
5,523
Points
2,000
kurlzawa

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2018
5,523 2,000
Man u anapindua matokeo camp nu, barcelona hana chochote cha kumzuia man u kupita
Weka mke na mm naweka mke kumfunga barca camp now ni ngumu kama ngamia kupita kwenye tundu la sindano hadi zikibak dak 3 mnaongoza goal 4 zinaweza rudi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,284,196
Members 493,978
Posts 30,816,893
Top