utabiri: chaguzi za wenyeviti

mmh

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
2,910
5,082
Kutokana na saga la ngada natabiri uchaguzi wa wenyeviti wa chadema taifa na club ya yanga utafanyika haraka sana baada ya nafasi kuwa wazi, wadau wa maeneo hayo andaeni succession plan haraka na mapema. Haya ni maono yangu tu na si lazima yawe kweli.
 
Usiwahurumie hao kwani ni wapinzani tu. Jiangalie ya kwako kwani mnyonge hupiganiwa na Mungu. Hakuna mtu angeliwaambia magwiji wengi kuwa wangeachia ngazi.
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Back
Top Bottom