UTABIRI: Bernard Membe kumrithi Rais Samia S. Hassan

Nawasalimu kwa jina la Jamhuri.

Huu ni utabiri wangu wa kimaono. Mwenye Presidential Image ndani ya CCM kwa sasa sioni zaidi ya BCM a.k.a kachero mbobezi.

Pamoja na uzoefu wake ktk siasa, wenyeji ktk chama, na weledi wa mambo ya kimataifa BCM ana ziada ya mvuto wa nafasi ya urais.

Ni wazi kabisa, baada ya Mhe. Rais SSH kumaliza muda wake BCM anaenda kukalia kiti.

Mtakuja kunikumbuka..! Tuombe uhai

DustBin
Unapataga wapi muda wa kufikiri upuuzi huu.
 
wengi hatupendi kubashiri, lakini wenzetu na wanataalauma wanalijua jabo hili.

Ni lazima kujiuliza ni nai atashika baada ya bib mkubwa
 
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri.

Huu ni utabiri wangu wa kimaono. Mwenye Presidential Image ndani ya CCM kwa sasa sioni zaidi ya BCM a.k.a kachero mbobezi.

Pamoja na uzoefu wake ktk siasa, wenyeji ktk chama, na weledi wa mambo ya kimataifa BCM ana ziada ya mvuto wa nafasi ya urais.

Ni wazi kabisa, baada ya Mhe. Rais SSH kumaliza muda wake BCM anaenda kukalia kiti.

Mtakuja kunikumbuka..! Tuombe uhai

DustBin
Mkuu DustBin , hii inaweza kuwa kweli endapo Samia atapuuzia sauti hii Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke, hivyo nimesikia 2025 VP Dr. Mpango atapumzishwa na kumteua BCM kuwa VP, hivyo kuja kuwa rais wetu kama vile!.
Naomba msiniulize kama vile vipi?.
P
 
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri.

Huu ni utabiri wangu wa kimaono. Mwenye Presidential Image ndani ya CCM kwa sasa sioni zaidi ya BCM a.k.a kachero mbobezi.

Pamoja na uzoefu wake ktk siasa, wenyeji ktk chama, na weledi wa mambo ya kimataifa BCM ana ziada ya mvuto wa nafasi ya urais.

Ni wazi kabisa, baada ya Mhe. Rais SSH kumaliza muda wake BCM anaenda kukalia kiti.

Mtakuja kunikumbuka..! Tuombe uhai

DustBin
Chawa mnajisikiaje sasa
 
Back
Top Bottom