Elections 2020 Utabiri: 2020 CCM itakuwa na wagombea wa ovyo wasio na uwezo wa kujieleza wala kujisimamia

MTAKA HABARI

Member
Jan 17, 2019
73
125
Nnacho kiona sasa ndani ya CCM sifa kuu za wagombea itakuwa ni kujipendekeza,unafiki,Wapika majungu,ndio mzee,waropokji na wabeba mikoba ya wakubwa.utamu wa CCM yenye watu wa kujenga hoja inakufa.
Wazee wenye hekima wamekaa kama vile ccm si yao tena.huenda ccm yao wanayo uchaguzi WA 2020

CCM sasa kimekuwa ni chama cha watu wachache wanaopenda kusikia yale wanayoyapenda tu.

CCM KWA SASA MNANITATIZA,TUNATAKA WAJENGA HOJA SIYO WAJENGA VIOJA.

NITASEMA KWELI DAIMA CCM OYEEE
 

LIMBOMAMBOMA

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
6,012
2,000
Huo ni ukweli uliodhahiri. watu aina ya lusinde na musukuma watakuwa wengi Zaidi bungeni. kwa sasa ndani ya ccm kujenga hoja sio kigezo cha msingi kwao kabisa.
 
Top Bottom