Utaalamu wa mapenzi/ngono ni janga la kitaifa/dunia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utaalamu wa mapenzi/ngono ni janga la kitaifa/dunia

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Sangarara, Jun 1, 2012.

 1. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Baada ya kufuatilia kwa muda mrefu kitu kinachosababisha watu kusalitiana kwenye mapenzi, nimefanikiwa kupata sababu sahihi za jambo hili achilia mbali ile sababu ya uovu wa kibinaadamu unaomsukuma kufanya ngono kama sehemu ya starehe bila kujali kwamba ni kitendo kitakatifu kwa mjibu wa kitabu ninachokiamini mimi.

  Kitu kilichonisukuma kufuatilia jambo hili na wimbi kubwa la waganga wa kienyeji walioibuka na madawa kemu kemu kwa madai kwamba wanaongeza mvuto wa mapenzi, uwezo wa kufanya ngono n.k. Nimekuwa siwaamini waganga wa kienyeji kabisa kabisa, na hivyo nilipokuja gundua kwamba watu hawa wanaminika sana kwenye jamii yetu nikapata hint kwamba inawezekana kwamba ni kweli kuna tatizo kwenye mahusiano yetu ya kimapenzi lakini pia solutions wanazo offer sio kweli sababu siwaamini.

  Nilichogundua ni kitu kifuatacho.
  Achilia mbali kabisa wanyama. Binaadamu toka baada ya kuzaliwa hujifunza kila kitu, kwa maana ya kuelekezwa namna ya kukifanya, tofauti na wanyama ambao wao baada ya kuzaliwa tu chap chap wanaanza kufanya kila kitu kinachofanywa na wazazi wao, na kama sio chap chap basi huchelewa kwa kusubiri viongo vyao kuimarika kidogo tu lakini hawapiti katika process yoyote ya maelekezo.

  Binaadamu lazima afundishwe kula, kuongea, kutembea, kuoga nk, isipokuwa namna ya kufanya ngono tu, HAPA NDIO TATIZO LILIPO, Inapokuja kwenye ku do, ukitoa baadhi ya makabila machache ambayo upitisha mabinti zao katika unyago (japo sina hakika bado mafunzo ya ngono yanafundishwa kwa kiwango gani), asilimia kubwa zaidi ya watanzania/binaadamu hawapati mafunzo kwenye jambo ambalo wanalipa umuhimu mkubwa sana kwenye maisha yao.

  Nina uhakika wa kutosha kwamba wanaume wengi ambao hupewa confirmation mahospitalini kwamba wanaupungufu au hawana uwezo wa kumpa mwanamke mimba tatizo lao kubwa huwa ni kukosa ufahamu wa namna wa kufanya mapenzi na wachache sana ndio huwa na matatizo ya kiafya.

  Kwa sababu ya usiri unaoligubika swala hili kwenye jamii zetu, watu wengi huishia kufanya mapenzi kama wanyama, watu wanafanya mapenzi kwa kutumia instinct, in born knowledge, inborn knowledge iliyokamilika ni ya wanyama tu, ya binaadamu iko very wrong, binaadamu anatakiwa kupata proved knowledge sio kufanya mambo kwa mazoea mazoea. Kama namna tunavyopata hasara kubwa kwenye mambo mbali mbali ya maisha yetu kwa kufanya mambo kwa mazoea badala ya facts na knowledge ndiyo hivyo nyanja ya mapenzi inapotulipeleka Taifa letu kwenye matatizo makubwa ya kijamii.kuvunjika kwa ndoa, kusalitiana, ngono za utotoni nk.

  Kama wasomi wanaweza kufurahia maisha yao kutokana na elimu waliyojipatia, hata wale waliopata elimu sahihi ya namna ya kubanjuka, huwagusi kwa furaha.
   
 2. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Kama kuna kaukweli hivi!..Lakini tatizo ambalo bado naona hujalisema hapo kwenye hoja yako ni kwa nini 'binadamu' hawa hawa ambao wanafanya 'ngono' kwa mazoea yaan kama ulivyosema kwa kutumia instinct, in born knowledge wawe na tatizo la kuji'feel' tofauti tofauti wanapofanya mapenzi baina yao??

  Mfano kama mimi sikuwahi kufundishwa ngono na wewe hukuwahi kufundishwa mapenzi kwa nini tunapokutana mmoja wetu ahisi kwamba mwingine hajui mapenzi??..Kwa nini 'mapenzi' ninayokupa mimi yawe'graded' kuwa ni ya kiwango cha chini kuliko ya yule??..Hapa kutakuwa na point umeiruka na sio issue ya kufanya mapenzi kwa mazoea.
  .
  Unachokosea ni kwamba 'Wanyama' wanaweza wasione tofauti ya ku'do' baina yao tofauti na binadamu kwa sababu wao hawana 'reasoning'!. Mradi wewe uliumbwa binadamu na unao uwezo wa ku'reason' bila hata kufundishwa mambo kama mapenzi unaweza ku'cognitively' tu kuhisi kuwa haufikishwi au unafikishwa. Na hii ni kwa sababu binadamu tuna'interact'!
   
 3. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Mkuu
  Hicho unachokizungumzia ndio dalili zenyewe za kuchokana kama sio kushindwa kumeet expectations, au la ni kuzungumzia vitu wasivyovijua, ni kama vile mtu anang'ang'ania mi najua kuimba najua kuimba, ukimuambia imba, ohooo.

  Moja ya tatizo kubwa ambalo ni kikwazo kwenye kujifunza ni kila mtu kujifanya anajua, sio kwenye mapenzi tu ni kwenye kila kitu, ukienda jukwaa la siasa utakuta threads za watu wanajaribu kumuweka nape sawa, lakini kwa sababu anaishi kwa instinct anajifanya anajua kila kitu, then kila siku anaharibu kila kitu.

  Ukimsikia kijana anavyompromise binti kumpa mapenzi motomoto unaweza ukasema jamaa ananishinda nini, sasa muulize utamfanyiaje, atakuambia ntapiga konyagi kwanza, ohooo.

  Lakini kwa wote kufurahia wote lazima wawe wamejifunza, ama sivyo utatoka hapo unasema huyu anaonekana muhuni huyu!!!
   
 4. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Nmh ni zamu yetu kusoma na kujifunza!
  Maana mimi nilikuwa na mtazamo tofauti, nilifikiri nikimpenda tu mtu basi nitapenda kila kitu chake hadi jinsi anavyonipa mambo. Kumbe kwa wenzetu hiyo kitu inajitegemea.
   
 5. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,668
  Trophy Points: 280
  Nimesoma lakini sijaelewa ngoja nitulie kwanza!
   
 6. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Bado siamini kama ku'faili' kwa ndoa nyingi ama uchumba ama urafiki wa kawaida ni kwa sababu watu hawana elimu ya Mapenzi!. Ukiyaangalia mapenzi kwa maana ya 'relationship' yana wigo mpana sana na ngono ikiwemo. Na kwa bahati mbaya sio wasomi wala maproffessor ambao wameweza kuyamudu. Na hii inaonyesha dhahili kuwa mapenzi sio field of study like physics, chemistry and the likes.

  Mfano ulioutoa wa mtu anayesema anajua kuimba halaf kumbe hajui bado unakurudisha pale pale kwenye 'nani' anayejua hii ni sauti nzuri na nani anayejua hii ni sauti mbaya. Obviuos ili ujue hii ni nzuri au ni mbaya lazima kuwe na 'standards'. Na kwa issue kama music kuna standards na vitu kama key, notes, lyrics, vocal etc, which means this is the field of study. Sasa kwenye ngono, Where there is college ambapo tunafundishwa mapenzi na ngono??..what is the standard kwamba ngono hii ni nzuri na hii ni mbaya??..hakuna!..na ndiyo maana awe prof au drs la saba wote ni failures wa mapenzi.

  Kwangu mimi still i believe mapenzi ni 'subjective issue'! there is no uniformity or clarity! Mradi mwenzako anafurahi na wewe unaridhika just go on!
   
 7. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #7
  Jun 1, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  sio kwa wenzetu, hata hao wenzetu (kama unamaanisha wadhungu) nao wanatatizo hili hili, we jiulize, kama kupika ni lazima ufundishwe, kuandika, kusoma, kutembea, kupiga mswaki n.k how come kwenye KU DU ndio uachiwe wewe mwenyewe ujiongeze.

  Kuna ujinga fulani hivi ibilisi ametutia wanaadamu kiasi kwamba tunaona kuzungumzia haya mambo ni dhambi saaaana, lakini ni katika mambo haya ndio pia tunamkosea mwenyezi Mungu saaaaana, siri ya nini sasa?

  Ukimsikiliza mtu anayeongea kiswahili au kiingereza from experience ni tofauti kabisa na yule anayeongea kutokana na kujifunza lugha hiyo, anaongea lugha tamu sana.

  Angalia professional footballers na wanamichezo wengine tunaowaona kwenye video, jinsi wanavyoleta burudani kwa kuwaangalia wakiwa uwanjani, alafu angalia hawa wanamichezo wetu wa mchangani, wanatia aibu kabisa, why, they do not have a teacher is a simple answer.

  why not learn to DU then???
   
 8. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #8
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Kwa wenzetu nilikuwa na maana Wanaume! Sangarara sasa kuDO unafundishwa nini? Si ni sawa na kula tu, lbd kwenye kula unafundishwa usijaze machakula mengi mdomoni.

  Mapenzi kwa maana ya relationship unaweza fundishwa lkn si sex! Na hata unyago au jando nahisi 90% ya mafunzo ni jinsi ya kuhusiana na mwenzi wako. Sidhani kuwa unafundishwa kuwa mchi unaingia kwenye shimo hili na si lile. Na ukiwa ktk kitendo, ukifuata hisia na kutoa aibu utafanya vizuri na ukaonekana umefundishwa!

  Huu ndio mtazamo wangu!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #9
  Jun 1, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Mategemeo yangu ni kwamba utaunlearn this type of thinking.
  mapenzi yamefanywa kuwa subject not meant for learning and studying kwa sababu za kiimani zaidi,tena imani ya giza, lakini sio kwamba hayasomeki, naendelea kujenga hoja yangu pale pale, kwamba we shall perfect to it, if we shall subject it to learning not less than that.

  Nikudokeze tu kwamba hata mambo ya imani za kidini yataendelea kuwa confusion kama tutaendelea kuyachukulia for granted na kuamini kila kitu tunachoambiwa bila kukifanyia utafiti, kukiquestion,kulinganisha, nk, unakuta mtoto mdogo wa miaka mitano anaulizwa we dini gani?, kanajibu:mshlamu au mkrishto, baada ya apo kanapata mafundisho very shallow in deed na mzazi anakuwa confortable kwamba mtoto wake anafuAta dini yake, like father like son wote wanakua watu wasiona ufahamu wa jambo lolote.

  the same applies na mapenzi, hivi vitu viwili, MAPENZI NA DINI, TUSIPOFUNGA BRAKE NA KUVISUBJECT TO SERIOUS LEARNING VITAENDELEA KUTUCHANGANYA MAISHA YETU YOTE KATIKA KIZAZI HIKI.

  CHAO
   
 10. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #10
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Very educative information.
   
 11. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #11
  Jun 1, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Kaunga, sisi ndio hamna kabisa, sana sana huwa tunakatazwa kufanya,i wish ningekuwa mdogo ningemuuliza baba, nisifanye nini? ila nakumbuka kuna siku niliingia chumbani ghafla mzee alishtuka vibaya sana na kuficha apparatus zake, since then nilianza kuzificha za kwangu, why? sijui mpaka sasa.

  Kuhusu namna ya kujifunza ndio tunatakiwa kutengeneza processes, policies and procedures, hakuna kinachoshindikana na penye nia pana njia.
   
Loading...