Rafiki Asali
Member
- Jan 4, 2019
- 28
- 8
A
Asante kwa kuwasilisha, kazi zote ulizozitaja apo juu zinaweza kufanyika kama zitaweza kuzingatiwa. Wasiliana nasi kwa namba 0758789956Wakuu,
Ningependa kufahamu yafuatayo,
1. Je! ni kweli upo utaalamu wa kuzalisha makundi ya nyuki na kuwahamishia kwenye mizinga?
2. Zoezi hilo huchukua muda gani hadi kuzalisha malikia mpya na kundi jipya?
3. Humu yupo mtu anayefanya hiyo kazi anayeweza kutoa ushuhuda au kuonesha practice?
3. Mfumo huo una ufanisi kiasi gani na changamoto zinazotegemewa ni zipi?
nawasilisha.