Utaalamu: Kwanini wanaozuia isinyeshe, hawairuhusu inyeshe?

yolk

Senior Member
Jan 29, 2017
137
240
Katika stori za hapa na pale huwa nasikia kuna wataalamu wa kuzuia mvua isinyeshe katika matukio muhimu, au kwa sababu zao binafsi.
Kama hili jambo huwa ni kweli;
Je, wao pia wanahusika kwenye huu ukosefu wa mvua?
Je, wanashindwaje kuhusika katika kuiruhusu/kuiamuru inyeshe, ikiwa wana uwezo wa kuizuia?

mshana jr ningependa mchango wako niuone katika hili..
 
Back
Top Bottom