Uswizi: Makampuni yalazimishwa kuwasaidia waajiriwa kulipa kodi za nyumba kwa kufanyia kazi nyumbani

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,005
9,872
Mahakama kuu ya Switzerland imewataka waajiri kuwachangia kodi ya pango waaajiriwa wanaofanya kazi kutoka nyumbani

Mahakama imefikia hatua hiyo baada ya muajiriwa mmoja wa kampuni moja ya uhasibu kufungua madai ya kuwa kampuni yake inawajibika kulipa kodi ya nyumba kwa kumlazimisha kufanyia kazi nyumbani

Katika kujitetea mahakama hiyo ilisema hakuna makubaliano kwa hiyo hawawezi kulipa, madai ambayo mahakama iliyatupilia mbali na kuyataka makampuni yote kulipa kodi za nyumba za wanaofanyia kazi nyumbani

Wafanyakazi watasaiadiwa takribani Tsh 360,000 kama sehemu ya kodi za nyumba. Hii itakuwa ni kwa wanaofanyia kazi nyumbani kwa amri ya kampuni na sio waliojiamulia kufanyia kazi nyumbani

====

Companies in Switzerland must contribute to their employees’ rent if they’re working from home, the country’s top court has ruled, according to reports.

The court made the ruling in a case brought by an employee of an accounting firm, who claimed his company was responsible for part of his rent while he was forced to work from home, Swissinfo reported, citing the German language Tages-Anzeiger newspaper.

The company argued they were not responsible for the rent payment because they had not made an agreement ahead of them working from home, according to the report.

But the court rejected the company’s argument — and even said an employee could retroactively recoup rent costs after leaving a company, the news organization reported.

The court ruled a monthly dividend of up to $154 for rent cost was warranted.

The ruling only applies to employees who work from home at their company’s orders — not workers who personally request to do so, according to the report.


Chanzo: New York Post
 
Mahakama iko sahihi huko ni kubadilisha makazi binafsi ya mfanyakazi kuwa ofisi ya kampuni.Ila wamepunja ilitakiwa kampuni zilipie Kodi nzima ya nyumba .Sababu wao ndio wameigeuza ofisi
 
Back
Top Bottom