Uswizi imepiga kura ya kuunga mkono marufuku ya kuvaa hijabu katika maeneo ya Umma

Kitu kinanishangaza ni vile askari wanawake wa kiislam wanapokubali kutovaa hijab wakiwa na magwanda, huu ni ujinga uliopitiliza,hiyo ya Nyerere unayoitaka would never happen, unless tugawana nchi, sidhani kama waislam tutakubali kwenye hili.Serikali ya Norway inaruhusu police kuvaa hijab, imagine Bongo yenye asilimia sabini ya waisla?
Hivi huwa mnawaza kuwa dunia ina watu wa imani nyingine na wana preferences zao japo hamkubaliani nazo? Nauliza kwa wingi kwako wewe na wenye mawazo kama yako. Maana naona comment as if ni peke yenu mna hatimilki ya dunia na kuwapangia watu maisha.

Lazima mjue kuwa dunia ina kila aina ya watu wa kila aina ya imani. Hata kama huamini wanachoamini wala kukubaliana nao, basi waachie uhuru wao. Waheshimu kwa sababu ni wanadamu kama wewe tu.

Unasema askari ambao wanatumikia umma wenye imani tofauti wawe na code ya kwao simply kwa sababu ni Waislam. Unajua code za imani nyingine? Wakidai na wao zifuatwe unadhani tutabakia na Jeshi la polisi hapo? Au unadhani ni imani unayoamini wewe tu ndio kuu sana kiasi kwamba ipewe priority na zingine zifungiwe kwenye box?
 
Uswizi imepiga kura ya kuunga mkono marufuku ya kuvaa Hijabu katika maeneo ya Umma ikiwemo Burka na Niqab zinazovaliwa na wanawake wa dini ya Kiislamu.

Matokeo rasmi yanaonesha kwamba waliounga mkono kura hiyo ya maoni iliyofanyika Jumapili ni asilimia 51.2 huku idadi ya waliopinga ikiwa ni asilimia 48.8.

Mswada huo uliwasilishwa na mrengo wa kulia wa chama cha Swiss People’s Party (SVP) ambacho kilifanya kampeni yake kwa kutumia misemo kama vile “Sitisha itikadi kali”.

Kundi kubwa la Kiislamu nchini Uswizi limesema kuwa hiyo ni “siku ya huzuni kubwa” kwa Waislamu.

“Uamuzi wa leo umefungua vidonda vya kale, na kuongeza pengo la ukosefu wa usawa kisheria, na ishara ya wazi ya kutengwa kwa kundi la Waislamu waliowachache,” Baraza la Waislamu nchini humo limesema katika taarifa iliyotoa, na kuongeza kwamba huenda likapinga uamuzi huo mahakamani.

Serikali ya Uswizi ilikuwa imejitetea dhidi ya marufuku hiyo kwamba siyo jukumu la serikali kuamua kile watakachovaa wanawake.

Kulingana na utafiti uliofanywa na chuo kikuu cha Lucerne nchini Ujerumani, ni sawa na kusema hakuna anayevaa burka na ni wanawake takriban 30 tu wanovaa niqab. Karibu asilimia 5 ya idadi ya watu nchini Uswizi ambayo ni milioni 8.6 ni Waislamu, wengi wao wakiwa wanatoka chuo kikuu cha Uturuki, Bosnia na Kosovo.

Watu nchini Uswizi wana uhuru katika masuala yao binafsi chini ya mfumo wa nchi hiyo unaozingatia demokrasia.

Na mara nyingi huwa kunafanyika kura za maoni juu ya masuala mbalimbali ya kitaifa au eneo.

Hii sio mara ya kwanza suala linalohusu Uislamu kufanyiwa kura ya maoni nchini Uswizi.

Mwaka 2009, raia walipinga ushauri wa serikali na kupiga kura ya maoni inayounga mkono kupiga marufuku majengo yenye minara kama misikiti – hoja iliyowasilishwa na chama hicho hicho cha SVP na kusema kuwa minara ni ishara ya Uislamu.

Bongo5
Niseme ukweli, Hawa waliunga mkono nmewapenda bure. Mtu mwenye akili yake timamu hawez kuishi. Na watu wanaovaa Mambo kama haya, wengi wao sio wazuri.
 
Hii chuki dhi
Kitu kinanishangaza ni vile askari wanawake wa kiislam wanapokubali kutovaa hijab wakiwa na magwanda, huu ni ujinga uliopitiliza,hiyo ya Nyerere unayoitaka would never happen, unless tugawana nchi, sidhani kama waislam tutakubali kwenye hili.Serikali ya Norway inaruhusu police kuvaa hijab, imagine Bongo yenye asilimia sabini ya waisla?

di ya uislam sijui

Hivi huwa mnawaza kuwa dunia ina watu wa imani nyingine na wana preferences zao japo hamkubaliani nazo? Nauliza kwa wingi kwako wewe na wenye mawazo kama yako. Maana naona comment as if ni peke yenu mna hatimilki ya dunia na kuwapangia watu maisha.

Lazima mjue kuwa dunia ina kila aina ya watu wa kila aina ya imani. Hata kama huamini wanachoamini wala kukubaliana nao, basi waachie uhuru wao. Waheshimu kwa sababu ni wanadamu kama wewe tu.

Unasema askari ambao wanatumikia umma wenye imani tofauti wawe na code ya kwao simply kwa sababu ni Waislam. Unajua code za imani nyingine? Wakidai na wao zifuatwe unadhani tutabakia na Jeshi la polisi hapo? Au unadhani ni imani unayoamini wewe tu ndio kuu sana kiasi kwamba ipewe priority na zingine zifungiwe kwenye box?
mwambie huyo vyombo vya ulinzi na usalama havina dini
 
Nguo nzuri wakiwa wanavaa VIMINI
hivi masista nao wamekatazwa?
Wapo sahihi, kwa mzazi mwenye anayempenda mtoto wake, huwezi kumvalisha hayo madude labda kama unampeleka kwenye shule yako uliyojenga mwenyewe.

Inasababisha mtoto abaguliwe tangu anapotoka nyumbani hadi atakaporudi hasa kwa nchi za ulaya. hapa kwetu sisi hatuna shida kwasababu tumeshazoeana na tunaishi vizuri na tunaoleana. ila kwa ulaya ambako wanajua dini fulani ndio chanzo cha ugaidi halafu wanaona mtu kavaa sijui kanzu sijui nini, watabagua unamsababishia mwanao mateso yasiyo na msingi.

Vilevile, kuvaa hayo madude haimaainishi ndio wasafi kiroho, amini usiamini, hao hijab wanagongwa bala, na hata mimi nilisha gonga sana na sikukuta bikra ya mbele wala ya nyuma.
 
Kitu kinanishangaza ni vile askari wanawake wa kiislam wanapokubali kutovaa hijab wakiwa na magwanda, huu ni ujinga uliopitiliza,hiyo ya Nyerere unayoitaka would never happen, unless tugawana nchi, sidhani kama waislam tutakubali kwenye hili.Serikali ya Norway inaruhusu police kuvaa hijab, imagine Bongo yenye asilimia sabini ya waislam?
Takwimu za asilimia 70 ya Waislamu Tanzania umeipata wapi mwenzetu? Nina uhakika NBS hawana hizo Takwimu. Labda kwa kukusaidia tu, idadi ya WAKATOLIKI pekee kwa mujibu wa TEC ni milioni 15. Hii ni kama 30+ ya Watanzania. Namaanisha WAKATOLIKI, bila kujumlisha madhehebu mengine ya Kikristo!
 
Hivi huwa mnawaza kuwa dunia ina watu wa imani nyingine na wana preferences zao japo hamkubaliani nazo? Nauliza kwa wingi kwako wewe na wenye mawazo kama yako. Maana naona comment as if ni peke yenu mna hatimilki ya dunia na kuwapangia watu maisha.

Lazima mjue kuwa dunia ina kila aina ya watu wa kila aina ya imani. Hata kama huamini wanachoamini wala kukubaliana nao, basi waachie uhuru wao. Waheshimu kwa sababu ni wanadamu kama wewe tu.

Unasema askari ambao wanatumikia umma wenye imani tofauti wawe na code ya kwao simply kwa sababu ni Waislam. Unajua code za imani nyingine? Wakidai na wao zifuatwe unadhani tutabakia na Jeshi la polisi hapo? Au unadhani ni imani unayoamini wewe tu ndio kuu sana kiasi kwamba ipewe priority na zingine zifungiwe kwenye box?
Nimekutolea mfano wa Norway au wewe hujaona unakimbilia tu kuandika,kwani wao hawajaziona hizo imani nyingine? Lini umesikia Muilam anashida na mavazi ya dini nyingine?
 
Boss Norway si unaweza kwenda? Kila wanalofanya Norway na sisi tufuate?
Okay tuseme imekuwa kama unavyotaka. Waislam wavae Kanzu na Hijab, Wakatoliki, Walutheri na Wanglikana wavae majoho, Wapentekoste wavae suti. Wapagani wavae kivyao. Wapoga vimini wapige mipasuo wanayotaka.

Hapo unabakia na Jeshi la polisi? Au unataka tuishie kwenye hijab tu? Kama ndivyo kwa nini? Hawa wote ni raia na hizi ni dini zao. Kama dini yako unataka ipewe kipaumbele inabidi ukubali na zingine zifuate.

Nchi zina miongozo ya kila kitengo cha huduma. Kama unaona huwezi kuhudumu kaa kufuata miongozo husika unaenda kitengo kingine!
 
Kua basi. Uswiss ni nchi huru. Ina wenyewe na utamaduni wao. Sasa kama wamekubaliana kuishi hivyo chuki iko wapi hapo? Waislam kule ni wahamiaji. Siwezi kuhamia nyumba yako nikupangie utaratibu wa maisha. Aidha nifuate utaratibu wako au niondoke niende mahali nakubaliana nao.

Waislam wa aina ya kwako wenye victim mentality ni shida sana. Hivi ukiaa muwazi kabisa leo hii Wakristo wanaoishi Saudia wakianza kampeni waruhusiwe kujenga makanisa utaunga mkono? Au kule Iran ambako watu wanafungwa na kuuawa simply kwa sababu ni wameamua kuwa Wakristo tukiwaambia waache uhuru wa watu utaunga mkono?

Acha mawazo mfu! Dunia ina nchi nyingi. Hupendi kukaa Uswizi unasogea nchi nyingine unayoona inakufaa.
Human rights is universal n doesn't have boundaries.
Freedom of worship
Everybody should be free to choose what faith to believe in.
State should not enact law to control people faith.
 
Wapo sahihi, kwa mzazi mwenye anayempenda mtoto wake, huwezi kumvalisha hayo madude labda kama unampeleka kwenye shule yako uliyojenga mwenyewe.

Inasababisha mtoto abaguliwe tangu anapotoka nyumbani hadi atakaporudi hasa kwa nchi za ulaya. hapa kwetu sisi hatuna shida kwasababu tumeshazoeana na tunaishi vizuri na tunaoleana. ila kwa ulaya ambako wanajua dini fulani ndio chanzo cha ugaidi halafu wanaona mtu kavaa sijui kanzu sijui nini, watabagua unamsababishia mwanao mateso yasiyo na msingi.

Vilevile, kuvaa hayo madude haimaainishi ndio wasafi kiroho, amini usiamini, hao hijab wanagongwa bala, na hata mimi nilisha gonga sana na sikukuta bikra ya mbele wala ya nyuma.
Duuh....hiyo Aya ya mwisho ungeifuta mkuu
 
Human rights is universal n doesn't have boundaries.
Freedom of worship
Everybody should be free to choose what faith to believe in.
State should not enact law to control people faith.
Human rights ni pamoja na kuwapa watu wa Uswizi uhuru wa kuamua kidemokrasia kupinga hijab.

Kama vile watu wa Saudi Arabia wanavyopinga Swimming Suits na bikinis in public places.

Bora hata hao Waswizi wamepiga kura, Saudi Arabia ni amri tu.
 
Saudi Arabia's a monarchy state also its a non secular state.
Swiss is a secular state and what they are doing is morraly wrong state can not enact law to control people's faith.
 
Back
Top Bottom