Kitu ambacho sielewi kwanini au vipi inaanza mpaka mnapigania mwanaume.
Hao wananchi waliwazunguka ndo wajinga zaidi.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Hao wananchi waliwazunguka ndo wajinga zaidi.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
,hujapigwa ukuni vizuri wewe,au labda uwe umekeketwa huoni utamu wake ndo maana unasema hvyo,wengine walisema hivyo hvyo,eti oooh,mi kamwe sijidhuru kwa mapenzi,wako wapi,acheni tu jamani,hii kitu inauma,usiombee ikukute kabisaaaaaaaaaa
Shosti, unaweza kukuta wamejaa kibao lakini wakawa ni "wanaume suruali" tu.Kha!!!! Kisa cha kutoana dam!!!!eti bwana kwan uh wapo watatu tu tanzania nzima?? Nahuku wamejaa kibao tena kila aina.