Uswazi Kuna VITUKO, eti WANAPIGANIA BWANA, Khaaaaaaaaaa

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
pigana.jpg


pigana2.jpg
 
Bwana mwenyewe muda huo alikuwa na bibi mwingine, usawahilini raha sana sitakaa nihame daima.
 
Kitu ambacho sielewi kwanini au vipi inaanza mpaka mnapigania mwanaume.
 
Kha!!!! Kisa cha kutoana dam!!!!eti bwana kwan uh wapo watatu tu tanzania nzima?? Nahuku wamejaa kibao tena kila aina.
 
Mbona sisi wengine tupo huku hatuna wanawake si waje huku tule maisha!
 
,hujapigwa ukuni vizuri wewe,au labda uwe umekeketwa huoni utamu wake ndo maana unasema hvyo,wengine walisema hivyo hvyo,eti oooh,mi kamwe sijidhuru kwa mapenzi,wako wapi,acheni tu jamani,hii kitu inauma,usiombee ikukute kabisaaaaaaaaaa
 
Kha!!!! Kisa cha kutoana dam!!!!eti bwana kwan uh wapo watatu tu tanzania nzima?? Nahuku wamejaa kibao tena kila aina.
Shosti, unaweza kukuta wamejaa kibao lakini wakawa ni "wanaume suruali" tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom