Uswahili umetuponza!

mmakonde

JF-Expert Member
Dec 26, 2009
965
66
Kuanzia Mwinyi,Mkapa na JK ,hawa wote nawaita Waswahili. Tangu lini Mmakonde(kabila langu ), ukamwiesabu mtu serious!

Kuna makabila binti yako akiolewa ,ujue amekwisha. Angalieni Mzee Ruksa alivyoitwa shemeji na watoto wa shule !
Angalieni Mkapa aliyopelekwa puta na mkewe!

Angalieni Kiranja wa sasa anavyobehave.

May be fundisho kwa next president, tutakapo mchagua!
 
Kuanzia Mwinyi,Mkapa na JK ,hawa wote nawaita Waswahili!
Tangu lini Mmakonde(kabila langu ) ukamwiesabu mtu serious!
Kuna makabila binti yako akiolewa ,ujue amekwisha!
Angalieni Mzee Ruksa alivyoitwa shemeji na watoto wa shule !
Angalieni Mkapa aliyopelekwa puta na mkewe!
Angalieni Kiranja wa sasa anavyobehave.
May be fundisho kwa next president,tutakapo mchagua!

Chinga- umelikoroga hili.
Uswahili hauna ukabila bana. Uswahili ni hii mila ya namna yake inayopelekea taifa hili kule kwenye kundi la failed states. Usanii wote unaotumika na wenye nchi kuatafuna nchi badala ya kuiondoa kwenye ufukara.

Kwa mfano tu, anavyofanya Kagame kule kwao kumeifikisha ile nchi mbali sana, tofauti na yanayofanyika hapa especially, post Mwalimu's era. Mswahili ni binadamu mshenzi sana.
 
Come on !Je Msukuma,Mkara,Mgogo Myiramba ,Mhaya unasema ni Waswahili?
 
Kuanzia Mwinyi,Mkapa na JK ,hawa wote nawaita Waswahili!
Tangu lini Mmakonde(kabila langu ) ukamwiesabu mtu serious!

Kuna makabila binti yako akiolewa ,ujue amekwisha!
Angalieni Mzee Ruksa alivyoitwa shemeji na watoto wa shule !
Angalieni Mkapa aliyopelekwa puta na mkewe!
Angalieni Kiranja wa sasa anavyobehave.

May be fundisho kwa next president,tutakapo mchagua!

:caked:
 
Come on !Je Msukuma,Mkara,Mgogo Myiramba ,Mhaya unasema ni Waswahili?
Uswahili sio kabila ni tabia. Tunaweza kuwa wote ni wakara/ wagogo/ wasukuma/ lakini mimi nikawa mswahili na wewe ukawa smati kidogo. Shida ya mswahili ni mfumo wake wa mawazo (mind set) yanayotengeneza kitako (base) cha kufanyia maamuzi.
 
Back
Top Bottom