Uswahiba wa Magufuli na Mkapa kuna siri nzito!

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
6,697
9,048
Rais mstahafu wa A3 Mzee Ben W. Mkapa nilimwona juzi akiwa Chato nyumbani kwa Rais Magufuli alikoenda kukabidhi nyumba 50 za Taasisi yake ya Mkapa Foundation iliyozijenga kwa ajili ya Watumishi wa Afya Chato!!!

Nimetafakuri sana huu uswahiba wa hawa jamaa wawili. Kwamba wakti wa Awamu ya 3 Mkapa akiwa Rais na Magufuli akiwa Waziri wa Ujenzi waliamua kwa maksudi kuuza nyumba zote za Serikali kiasi cha baadhi ya Watumishi wa Serikali kupangishiwa kwa gharama kubwa kwenye Mahoteli!! Nyumba hizi ziliuzwa kwa bei ya kutupa na baadhi ya nyumba wakijiuzia wenyewe na Familia zao!!

Inashangaza kuona leo hawahawa waliouza nyumba zetu wanaanza kulipana fadhila kupitia Foundation zilizoundwa kwa fedha ya walalahoi wakianza kujengeana nyumba kwenye maeneoa yao!!Kwanini Mkapa hajaamua kujenga hizi nyumba Dar, Arusha, Dodoma, Mbeya n.k. Why Chato??

Itakumbukwa kwamba Mkapa ndiye aliyemwibua Magufuli kutoka kwenye Waalimu na kumpa Uwaziri wa Ujenzi. Lakini pia Mkapa huyuhuyu wakti wa NEC ya kuteua jina la Mgombea Urais wa CCM ndye aliyewazunguka wenzake(Mwinyi, Kikwete, Salim,n.k) na kupenyeza jina la John Pombe Joseph Magufuli na kama ndoto ya Jinamizi Magufuli akaukwaa Urahisi!! Kwa sasa inaonekana madudu yote yaliyofanyika wakti wa Awamu ya 3(Mkapa na Magufuli) hayaguswi. Chunguza kwa umakini utaona makaburi yanayofukuliwa kwa sasa ni ya Kikwete na watu wake( IPTL, ESCROW, MAKINIKIA,n.k)
Mbona watu hawajahoji kuhusu RADA: UUZWAJI WA NYUMBA ZA SERIKALI, MIRADI YA BARABARA HEWA NA FEKI, UNUNUZI WA NDEGE YA RAIS(Watu walikula nyasi),UNUNUZI WA FERRY YA BAGAMOYO n.k.
Tatizo la Watz hatujitambui na tunaburuzwa kama mkokoteni. Ndiyo maana Mkapa anawatukana Watz kwa kuwaita ni MALOFA na wavivu wa kufikri!! He can do anything and they won't react for nothing. Now, Mkapa and Magufuli are taking an advantage on the Tanzanians cowardice and foolishness!!!!
 
Wote wauzaji wa nyumba za serikali
abbedc5cb7e555c24dbc5f57adf5205e.jpg

Swissme
 
Umeambiwa hiyo Taasisi imejenga nyumba zaidi ya 400 Tanzania. Ina maana hizo nyumba zote zimejengwa chato?
Makabidhiano ya juzi ni nyumba zilizojengwa Geita, Simiyu na Kagera, makabidhiano yalifanyika Chato. Wakuu wa mikoa husika wote walikuwepo.

Punguza ujinga jukwaani na upambane na hali yako.
 
Usiwe "mpumbavu" (Mkapa voice) hizo nyumba zinajengwa nchi nzima.....Mikoa ya kanda ya kusini karibu yote ina hizo nyumba na ujenzi unaendelea kwa kila mkoa.

Njooo Mbeya Ruvuma hadi Tunduru uone hizo Nyumba .

Sent From Kibiti
 
Rais mstahafu wa A3 Mzee Ben W. Mkapa nilimwona juzi akiwa Chato nyumbani kwa Rais Magufuli alikoenda kukabidhi nyumba 50 za Taasisi yake ya Mkapa Foundation iliyozijenga kwa ajili ya Watumishi wa Afya Chato!!!

Nimetafakuri sana huu uswahiba wa hawa jamaa wawili. Kwamba wakti wa Awamu ya 3 Mkapa akiwa Rais na Magufuli akiwa Waziri wa Ujenzi waliamua kwa maksudi kuuza nyumba zote za Serikali kiasi cha baadhi ya Watumishi wa Serikali kupangishiwa kwa gharama kubwa kwenye Mahoteli!! Nyumba hizi ziliuzwa kwa bei ya kutupa na baadhi ya nyumba wakijiuzia wenyewe na Familia zao!!

Inashangaza kuona leo hawahawa waliouza nyumba zetu wanaanza kulipana fadhila kupitia Foundation zilizoundwa kwa fedha ya walalahoi wakianza kujengeana nyumba kwenye maeneoa yao!!Kwanini Mkapa hajaamua kujenga hizi nyumba Dar, Arusha, Dodoma, Mbeya n.k. Why Chato??

Itakumbukwa kwamba Mkapa ndiye aliyemwibua Magufuli kutoka kwenye Waalimu na kumpa Uwaziri wa Ujenzi. Lakini pia Mkapa huyuhuyu wakti wa NEC ya kuteua jina la Mgombea Urais wa CCM ndye aliyewazunguka wenzake(Mwinyi, Kikwete, Salim,n.k) na kupenyeza jina la John Pombe Joseph Magufuli na kama ndoto ya Jinamizi Magufuli akaukwaa Urahisi!! Kwa sasa inaonekana madudu yote yaliyofanyika wakti wa Awamu ya 3(Mkapa na Magufuli) hayaguswi. Chunguza kwa umakini utaona makaburi yanayofukuliwa kwa sasa ni ya Kikwete na watu wake( IPTL, ESCROW, MAKINIKIA,n.k)
Mbona watu hawajahoji kuhusu RADA: UUZWAJI WA NYUMBA ZA SERIKALI, MIRADI YA BARABARA HEWA NA FEKI, UNUNUZI WA NDEGE YA RAIS(Watu walikula nyasi),UNUNUZI WA FERRY YA BAGAMOYO n.k.
Tatizo la Watz hatujitambui na tunaburuzwa kama mkokoteni. Ndiyo maana Mkapa anawatukana Watz kwa kuwaita ni MALOFA na wavivu wa kufikri!! He can do anything and they won't react for nothing. Now, Mkapa and Magufuli are taking an advantage on the Tanzanians cowardice and foolishness!!!!
mkuu, ndege wafananao.........
 
Kama hufahamu historia ya nchi yako; basi umezaliwa hapa kwa bahati mbaya tu.
 
Umeambiwa hiyo Taasisi imejenga nyumba zaidi ya 400 Tanzania. Ina maana hizo nyumba zote zimejengwa chato?
Makabidhiano ya juzi ni nyumba zilizojengwa Geita, Simiyu na Kagera, makabidhiano yalifanyika Chato. Wakuu wa mikoa husika wote walikuwepo.

Punguza ujinga jukwaani na upambane na hali yako.

Hata kama atakuwa amejenga huko Geita, Simiyu na Kagera haibadilishi chochote kwenye hoja ya msingi.
Kama Mkapa and his Foundation walijua umuhimu wa nyumba za Watumishi kwanini waliziuza na kujiuzia??Kama leo unawatetea wamejenga nyumba 400 nchi nzima. waliuza ngapi na kwa thamani gani??
Hivi kwa akili yako nyumba 400 ni nini ktika Tanzania yenye malaki au mamilioni ya Watumishi??
Usitake kuendelea kuitwa LOFA na Mzee wako Mkapa. Pole sana.
 
mkuu, ndege wafananao.........

...Huruka pamoja!!!
Hiri ri Mkapa si ndiyo ririwaua wale ndugu zetu wa Pemba/Zanziba na wengine mpaka leo ni Wakimbizi huko ughaibuni!!
Mkapa huyu huyu ndiye alianzisha sera zake za kipuuzi za kubinafisha kila kitu ikiwemo MIGODI yote. Huyuhuyu ndiye alipewa PANDE LA DHAHABU pale kahama Gold Mine mpaka akateguka nyonga kwa uzito wa dhahabu! Leo anawadanganya Watz kwa fedha yetu kuwahonga vijumba 400. Shame on him and his henchman Magufuli!!!!
 
Kama hufahamu historia ya nchi yako; basi umezaliwa hapa kwa bahati mbaya tu.

Unazungumzia historia gani mkuu?Hebu tupe hiyo historia ya nchi hii wewe uliyezaliwa hapa!!
Kwamba Magufuli na Mkapa siyo maswahiba au?Kwamba hawakuwahi kuuza nyumba za Serikali na kwamba Magufuliha kuwahi kujenga barabara za Lami zisizo na viwango? Hebu wewe uliyezaliwa hapa tupe hiyo historia ya nji hii!!
 
Back
Top Bottom