Usumbufu wa Tanesco:Naomba Msaada

PHILE1879

JF-Expert Member
May 6, 2013
633
469
Hapa nyumbani hii wiki ya tatu umeme umekatika.Kila nikienda Tanesco naambiwa Leo tutakuja kurekebisha tatizo.Lakini hawaji.Nifanyeje?
 
Nenda moja kwa moja uonane na manager wa sehemu husika.
Mueleza namna gani ulivyotaabika na kukosa msaada kwa watu wake
 
Baada ya kufuatilia bila mafanikio,nilimtafuta meneja naye anatoa ahadi hewa.Jana kasema mafundi watakuja Lakini hawakuja,Leo nikarudi akaniahidi Lakini hawakuja.sasa sijui nifanye?
 
MKUU HUJAREFUSHA MKONO WAKO AU KWA MAANA NYINGINE PUNGUZA MKONO WA BIRIKA WATUKUJA HADI USIKU
 
Baada ya kufuatilia bila mafanikio,nilimtafuta meneja naye anatoa ahadi hewa.Jana kasema mafundi watakuja Lakini hawakuja,Leo nikarudi akaniahidi Lakini hawakuja.sasa sijui nifanye?
Uliwapa hela ya mafuta?
 
Back
Top Bottom