Usumbufu gani mke wako mjamzito amewahi kukuletea

Omary - Msamalia

JF-Expert Member
Jan 19, 2020
2,079
4,511
Ndugu zangu hizi karibuni nilipandisha uzi juu ya mke wangu kulalamika ananimiss sana mzigo wangu.

Nimejikuta sina namna zaidi ya kuandaa karibu 6M kwa ajili ya Safari ya kwenda na kurudi.

Ila nimeamini huwezi kuwaelewa wanawake wakuaminika yaani kuanzia Biologically na maisha yao kwa ujumla.
 
Ndugu zangu hizi karibuni nilipandisha uzi juu ya mke wangu kulalamika ana nimiss sana mzigo wangu...

Nimejikuta sina namna zaidi ya kuandaa karibu 6M kwa ajili ya Safari ya kwenda na kurudi.

Ila nimeamini huwezi kuwaelewa wanawake wakuaminika yaani kuanzia Biologically na maisha yao kwa ujumla...

Mungu asingewaumba tu...

Sent using Jamii Forums mobile app
Anataka niwepo home tu muda wote tukicheza kirali poooh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom