Usultani: Mifano Mizuri ni Rashid Mwema na January Makamba

Ninavyofahamu USA ina college nzuri sana duniani,sasa kama January Makamba alifutiwa mtihani wa form 4 then akapata div.4 form 6 aliwezaje kupata scholarship?Failures hawapati scholarship,halafu criteria for admission kwenye hicho chuo kwa makamba zilikuwa ni zipi?kama ana grade mbovu hivyo?sijapata picture kabisa inawezekana vipi
 
undugu ndani ya serikali
wananchi wengi wamekuwa wakilalamikia utawala mbovu ndani ya ccm na serikali yake. Igp mwema alipewa u igp kwa sababu ya uhusiano wake na rais ameridhika, hana wasiwasi kufukuzwa wala kuwajibishwa.polisi wanafanya unyama hadi kuteka raia lakini igp hawajibishwi wala kupewa onyo ya aina yoyote. Wote tunafahamu kwamba igp ni shemejiye rais kikwete. Kwa hiyo utendaji wake mbovu wa kazi hauwezi kushugulikiwa. Ina maana kwamba rais kikwete hawezi kumfukuza shemeji yake kazi hata kama polisi wakiwaua raia million moja. Huu ndio mtindo katika taasiri nyingi za serikali. Utakuta mtu anapewa wadhisha siyo kwa sababu ana uwezo, ila ni either ni rafiki au ndugu ya watawala

undugu ndani ya chama tawala:
ndani ya chama chetu tawala, viongozi wamekuwa wakiwahujumu wale wasio na majina. Kwa mfano. January makamba ambaye nakumbuka alipofutiwa mtihani wa kidato cha nne baada ya kuiba, alikweha ghafla akaenda marekani, kutoka marekani, akaingia foreign affairs, mara ikulu. Baada ya muda mfupi baba yake, yusuff makamba (ambaye pia anatuhumiwa kubaka na hatimaye kumpa mwananfunzi mimba akiwa mwalimu ), kipindi hicho akiwa katibu mkuu wa ccm, alijigamba kwamba mwanaye lazima awe waziri kwenye safari yake ya urais, alipindisha taratibu na leo mwanaye ni naibu waziri.

January hakupigiwa kura na mtu. Chini ya miaka 7 tangu atoke chuo, ameshapitia kila cheo kikubwa humu nchini. Jiulizeni mwaka 2006, mwamvita makamba alikuwa anajishughulisha na shuguli za upambaji wa sherehe pale ukonga prisons mess. Leo ni ceo vodaom. Vijana wangapi wa kitanzania wamefanya kazi nzuri ndani ya vodacom hadi yeye na kaka yake ndio wapewe hizi nafasi zote? Hii ni mifano tu ambayo nadhani tungejadili kwa umakini kwa mustakabli wa taifa letu. Hiyo siyo chuki ni picha kamili. Ccm ma serkali yake haina uadilifu. Baadhi yetu tunatarajia kuingia upinzani 2014 uli kuwaonyesha hawa mafisadi kwamba nchi siyo yao.

Watoto wa wakubwa na wenye madaraka wanajazwa kwenye nafasi nyeti na kubwa za uongozi wa hili taifa. Ndani ya ccm hauwezi kupata uongozi bila kuwa na jina kubwa. Watoto wa mwinyi, karamagi, kawawa, sokoine, kikwete, nchimbi, mzindakaya, karume etc… watoto wa wakulima wataenda wapi? Benki kuu, ubalozi, nssf, foreign affairs, tra, etc ni watoto wa wakubwa. Hii tunahitaje kwama siyo uongozi wa kifalme? Ukiwa mwanamke mzuri, unapata viti maalum, ubalozi, uku wa wilaya au mkoa. Ukiwa na ukaribu na watawala

matokeo yake
matokeo ya haya yote yamekuwa ni muendelezo wa ufisadi na utawala mbovu. Hali imeendelea kuwa duni kwa sababu hawa ma- mwinyi wameweka pamba masikioni wakiendelea kujineemesha kwa kodi zetu huku wakitutawala kwa mabavu. Hii ndio sababu kubwa ya hawa mapolisi kuzidi kuwaua raia kwa sababu, viongozi wao, wanaongoza kwa kujuana. Chama cha mapinduzi inachukiwa mno kutokana na huu mwendelezo wa undugu na ufisadi. Hakuna hata mmoja anayeweza kuwajibishwa. Kutokana na madhambi yake. Waungwana, tunaomba mjadili hii mada kwa umakini. Tupo wabunge kadhaa bungeni tunaotayarisha mswada utakaojadiliwa katika kikao kijacho, ikiwa “bi kiroboto” atakiruhusu

ngozimbili, selemani, gametheory, george smiley, dume la mbegu na msaidizi wao nyani ngabu, njooni mjibu mada siyo copy and paste

rashid mwema??!!
 
pamoja na pumba zote ulizomwaga hapa naomba tu nikwambie kwamba inatosha sasa kutawaliwa na ccm, mimi nataka mabadiliko hata kama yatakuwa mabaya, acheni na wengine wajaribu au wafanye kweli, unasema wafuasi wa cdm ni brain washed, utafiti wako umefanya wapi? angalia hata ndani ya jukwaa hili wangapi wana support magamba na wangapi magwanda, pia unataka kutuaminisha kuwa wewe una akili kuliko wote wanaoikibali cdm?

mbona huzungumzii majimbo yote yaliyokuwa ngome za ccm na hatimaye kuchukuliwa na cdm? hujaona cha kujifunza hapo? kwa kifupi ccm walijisahau wakadhani nchi hii wamemilikishwa wao peke yao. unapiga kelele hapa lakini hali halisi unaiona; tatizo ni kwamba kïchwa chako unakitumia kwa kazi moja tu...utake usitake ccm iko hali mbaya kwa sasa na hilo unalitambua ndo maana uko hapa kubwabwaja baada ya kuona upepo unageuka... think.. ohh sorry just shut up.

NB:
Selemani umehesabiwa? kama ulikataa unamwangusha jk. make up ur mind.
Nashangaa Selemani anasema Tundu Lissu ni mental case. Amefichua uozo wa kuteuliwa kwa majaji hakuna hata mmoja amethubutu kumchallenge. Kama Lissu ni mgonjwa wa akili, mbona tunatawaliwa na mtu ambaye anaangukaanguka tu hilo hatujaona kuwa shida. Nimesema watu wanaoishi kwenye nyumba za vioo wasitupe mawe. Na bado sijagusia marehemu Wangwe. Ilikuwaje mafaili yake binafsi yakaishia mikononi mwa Yusuf Makamba? Walikuwa wana uhusiano gani? Don't get me started.
 
Tunajua unapotosha makusudi. Mzee Mtei hana cheo chochote katika chama mbali ya kuwa mwanzishi. Freeman aliupata uongozi kwenye chama kwa merits zake mwenyewe. Hii ni tofauti na hulka zenu CCM.

Nashindwa hata kukuelewa, hizo picha huzioni? au unajisemea tu? Wapi katajwa Mbowe au Mtei hapo? au tayari na mapema hii?

Sasa hapo hata sijui hulka yako ni ipi? kuchakachuwa?
 
SIKILIZA SIIPENDI CCM hata kidogo lakini January Makamba hakufutiwa MTIHANI kidato cha NNE; alifaulu vizuri na kwenda Form V; CBG huko TANGA... na ni kutokana na matatizo yake na Waalimu akafutiwa MTIHANI Boarding School kama Angeiba Shule yote Ingefungiwa Mitihani yake; Alijaribu as a Private Candidate hakufanya Vizuri kuingia CHUO KIKUU; akaenda Kufanya Kazi kwenye kampuni ya Wakimbizi huko KIGOMA ni ya Kimarekani; Vijana wengi wamepata SHULE Marekani kutokana na Hiyo Kazi na alisoma Chuo cha kikatoliki na Masters aliomba msaada wa Serikali ya Mkapa; na alisomea Conflicts Resolutions.

Kwa ninavyofahamu yeye alikuwa ni Mtu wa kwanza kuwa na Bachelor na Masters za Conflicts Resolutions Nchini na Masters.

Nchi ilimsomesha Foreign Affairs ikampa kazi sio kwa Sababu ya Kikwete ni Qualification na Mkapa... baadaye akaendelea Vizuri... So PLEASE REKEBISHA MEMORY YAKO...

Mkuu nngu007, hapo kwenye red natofautiana na wewe kabisa. January sio mtu wa kwanza kuwa na masters hiyo; labda ni mtu wa kwanza anayefahamika ndani ya chama lakini si mtu wa kwanza Tanzania. Vilevile kwenye issue ya foreign affairs; kama unakumbuka data za wiki leaks vizuri; ilitajwa wazi kwamba Kikwete aliomba nafasi za watanzania wawili kama sijakosea, wakasome Marekani. Kwenye wiki leaks walimtaja mtanzania mmoja wapo ni January Makamba. Kwahiyo, hiyo yakusema Mkapa.... si kweli.
Kuhusu kufutiwa mtihani eti kwasababu una "matatizo" na mwalimu? Come on now! There is more to this story. Matatizo gani hayo zaidi ya kuibia au kujaribu kuibia or kuwa na "fake paper" Hivi kwa waalimu wetu wa bongo unafikiri wanaweza kuamua kumnyanyasa mtoto wa kiongozi wa serikali/chama out of no where? Wakati January yuko form four, baba yake alikuwa tayari anafahamika kama kiongozi fulani CCM. There is no way walimu wangeweza kumuonea bila sababu. Hapo naona tunahitaji information zaidi.
However, sina tatizo na January kuwa position hiyo au kupata vyeo ndani ya chama, kama ndio utaratibu Chama kimekubaliana nao then chama hicho hicho kina majukumu yakupambana na huo mfumo.
Watoto wa wakulima/wasionacho ndani ya CCM kama kweli wanachukizwa na huo mfumo, au wanaona watu wanabebwa ndani ya chama; they have to stand up and do something waache kulalamika. Sisi tulio nje ya vyama hatuwezi kuwasaidia chochote.
 
things are like that whether we agree or not that water will follow its stream, hv a luk down the street no one will pass u a deal or even pop u in their network just from the blue, it needs a hassle of health relationship from within and its very rare to join those secret organisations, leadership has inward shells and outwards and very illusioned when we see it outwardly that's how sometimes in such regime someone can be stressed, demoted and not at liberty to divulge any information like what happened to our former BOT governor, so ma fox out there let's chill down and wait 4 next election 2 b our turn
 
Nashindwa hata kukuelewa, hizo picha huzioni? au unajisemea tu? Wapi katajwa Mbowe au Mtei hapo? au tayari na mapema hii?

Sasa hapo hata sijui hulka yako ni ipi? kuchakachuwa?
Zomba,
Post imeondolewa na mods. Selemani kawataja Mbowe na Mtei na kudai kuwa Tundu Lissu ana wazimu. Imeondolewa. Lakini hata kama hunielewi kwangu ni sawa tu kwa sababu wewe na mimi hatuwezi kuwiva chungu kimoja.
 
Mkuu nngu007, hapo kwenye red natofautiana na wewe kabisa. January sio mtu wa kwanza kuwa na masters hiyo; labda ni mtu wa kwanza anayefahamika ndani ya chama lakini si mtu wa kwanza Tanzania. Vilevile kwenye issue ya foreign affairs; kama unakumbuka data za wiki leaks vizuri; ilitajwa wazi kwamba Kikwete aliomba nafasi za watanzania wawili kama sijakosea, wakasome Marekani. Kwenye wiki leaks walimtaja mtanzania mmoja wapo ni January Makamba. Kwahiyo, hiyo yakusema Mkapa.... si kweli.
Kuhusu kufutiwa mtihani eti kwasababu una "matatizo" na mwalimu? Come on now! There is more to this story. Matatizo gani hayo zaidi ya kuibia au kujaribu kuibia or kuwa na "fake paper" Hivi kwa waalimu wetu wa bongo unafikiri wanaweza kuamua kumnyanyasa mtoto wa kiongozi wa serikali/chama out of no where? Wakati January yuko form four, baba yake alikuwa tayari anafahamika kama kiongozi fulani CCM. There is no way walimu wangeweza kumuonea bila sababu. Hapo naona tunahitaji information zaidi.
However, sina tatizo na January kuwa position hiyo au kupata vyeo ndani ya chama, kama ndio utaratibu Chama kimekubaliana nao then chama hicho hicho kina majukumu yakupambana na huo mfumo.
Watoto wa wakulima/wasionacho ndani ya CCM kama kweli wanachukizwa na huo mfumo, au wanaona watu wanabebwa ndani ya chama; they have to stand up and do something waache kulalamika. Sisi tulio nje ya vyama hatuwezi kuwasaidia chochote.
Kuna jamaa alikuwa balozi wetu Ethiopia, Dr. Maundi, yeye naye alisomea MA conflict resolution Johns Hopkins University miaka mingi kabla ya Membe kwenda pale.
 
HonorableMP

Ili nahisi ni tatizo la watanzania waliowengi kwani hata kwenye ngazi ya mashirika hali ni hiyo hiyo!!

Ni kweli kuu si umesikia pale bodi ya mikopo, bosi mmoja kaajiri watu 11 ndugu zake wasio na sifa. Gonga hapa
Home Na hii inatokana na uozo ulioko juu maana jamaa wa huku chini nao wanaendeleza hichohicho. Kama wangekuwa wanachukuliwa hatua wangeacha.
 
hapa ndipo Watanzania wengi tunapotea, hatuna role models ambao wanamatch na maisha yetu.
Kumfananisha mtu aliyeiba pesa za umma then 'kumake fortune' na watu successful kama Bill Gates au Neil Armstrong ni makosa makubwa, hii ni sawa na kufananisha mbingu na ardhi. Na hii imetufanya kuendelee kudumaa kimawazo na si ajabu pamoja na volume kubwa ya uchumi biashara nyingi zinaendelea kumilikiwa na 'anonymous'

Tuko pamoja mkuu, na ndio maana nimemuomba AshaDii anitolee ufafanuzi kama hao watu aliowataja pamoja na huyo mmoja niliyemtajia ambaye ni college drop out, kama nao walipata mbeleko za wazazi wao kama inavyofanyika hapa kwetu.
Jambo la ajabu sana hapa kwetu watu wanashabikia hata mambo ya hovyo ilimradi tu wanatafuta kuhalalisha kubebana na kujuana.
 
Last edited by a moderator:
Mbona husemi ndesamburo na lucy owenya.freeman mbowe na edwin mtei,zitto kabwe na muhonga.tundu lissu na dadake,kipenzi chetu dr.wilbroad slaa na kipenzi chake zamani....orodha haina mwisho.mbona hamjasema iweje iwe kwa january makamba pekee?mbona mnamuogopa sana huyu kijana mwenye kipaji.DAIMA JARIBIO LA KUMKASHIFU NA KUTAKA KUMHARIBIA JINA LITASHINDWA NA ZAIDI TUTAWAJUA TU KWA ROHO ZENU ZILIZOJAA CHUKI NA WIVU WA KIKE.NYIE HAKUNA KIZURI ISIPOKUWA CHA SLAA PEKE YAKE HUU NDO U DICTATOR WA MAWAZO!

UKIWA NA FIKRA FINYU UTAJIBU HOJA KWA KUULIZA SWALI, EH NGOZIMBILI MOJA YA CHUI NYINGINE YA KONDOo
 
Huu ni umbeya na 'wivu wa kike' duniani kote watoto wanatamani na kufanya kazi wanzozikuta zikifanywa na wazazi wao, kama kilimo, ufugaji, uwindaji, ususi, uvuvi, nk. watoto wangu wote ukiwauliza wanataka kufanya kazi gani watakwambia kazi ya afya kwasababu baba na mama tuko afya. Ndiyo maana mtoto wa Bush naye akawa rais wa USA kama baba yake, what is wrong with that? kama wewe ni mvuta bangi chance ya mtoto wako naye kuvuta sigara ni kubwa kuliko ya mtoto ambaye baba yaake havuti hata sigara. Sasa kuna ubaya gani mtoto wa Mwinyi na Makamba kufanya kazi alizofanya baba yake kama anazipenda na kumudu kuzifanya?. Hoja labda iwe hawana sifa wala vigezi vya kuzifanya

Acheni chuki binafsi
 
sasa hiyo "comflict resolution" ya January Makamba inatusaidia nini watz?? mbona ameshindwa kupatanisha makundi ndani ya chama chake, hata mgogoro wa Malawi sijasikia akiuzungumzia, mbona huyu jamaa ni wa kawaida mno kuliko mnavyo msifia. kuna watu tuna shule zimetulia ila hatujaamua kufunguka. achaneni ujinga nyie

degree ya kawaida sana hiyo...eti wa kwanza kuipata tanzania, sasa mbona kazi yake inawezwa kufanywa na lawyers,sociologists, linguists, political scientists wakiwa tu na uzoefu kidogo wa kidiplomasia,na kiuongozi hata mwanasiasa tu mwenye diploma moja na uzoefu wa kazi muda mrefu wa kitaifa na kimataifa anaweza kukaa mezani na kutatua migogoro.. hamna degree useless lakini professional degree zina maana zaidi ya zingine na certainly conflict resolution is not one of them
 
Huu ni umbeya na 'wivu wa kike' duniani kote watoto wanatamani na kufanya kazi wanzozikuta zikifanywa na wazazi wao, kama kilimo, ufugaji, uwindaji, ususi, uvuvi, nk. watoto wangu wote ukiwauliza wanataka kufanya kazi gani watakwambia kazi ya afya kwasababu baba na mama tuko afya. Ndiyo maana mtoto wa Bush naye akawa rais wa USA kama baba yake, what is wrong with that? kama wewe ni mvuta bangi chance ya mtoto wako naye kuvuta sigara ni kubwa kuliko ya mtoto ambaye baba yaake havuti hata sigara. Sasa kuna ubaya gani mtoto wa Mwinyi na Makamba kufanya kazi alizofanya baba yake kama anazipenda na kumudu kuzifanya?. Hoja labda iwe hawana sifa wala vigezi vya kuzifanya

Acheni chuki binafsi

Siyo chuki binafsi. Tunachokitafuta ni usawa
 
UNDUGU NDANI YA SERIKALI
Wananchi wengi wamekuwa wakilalamikia utawala mbovu ndani ya CCM na serikali yake. IGP Mwema alipewa u IGP kwa sababu ya uhusiano wake na Rais ameridhika, hana wasiwasi kufukuzwa wala kuwajibishwa.Polisi wanafanya unyama hadi kuteka raia lakini IGP hawajibishwi wala kupewa onyo ya aina yoyote. Wote tunafahamu kwamba IGP ni shemejiye rais kikwete. Kwa hiyo utendaji wake mbovu wa kazi hauwezi kushugulikiwa. Ina maana kwamba rais kikwete hawezi kumfukuza shemeji yake kazi hata kama polisi wakiwaua raia million moja. Huu ndio mtindo katika taasiri nyingi za serikali. Utakuta mtu anapewa wadhisha siyo kwa sababu ana uwezo, ila ni either ni rafiki au ndugu ya watawala

UNDUGU NDANI YA CHAMA TAWALA:
Ndani ya chama chetu tawala, viongozi wamekuwa wakiwahujumu wale wasio na majina. Kwa mfano. January Makamba ambaye nakumbuka alipofutiwa mtihani wa kidato cha nne baada ya kuiba, alikweha ghafla akaenda marekani, kutoka marekani, akaingia Foreign Affairs, mara Ikulu. Baada ya muda mfupi baba yake, Yusuff Makamba (ambaye pia anatuhumiwa kubaka na hatimaye kumpa mwananfunzi mimba akiwa mwalimu ), kipindi hicho akiwa katibu mkuu wa CCM, alijigamba kwamba mwanaye lazima awe Waziri kwenye safari yake ya Urais, alipindisha taratibu na leo mwanaye ni Naibu waziri.

January hakupigiwa kura na mtu. Chini ya miaka 7 tangu atoke chuo, ameshapitia kila cheo kikubwa humu nchini. Jiulizeni Mwaka 2006, Mwamvita Makamba alikuwa anajishughulisha na shuguli za upambaji wa sherehe pale Ukonga Prisons Mess. Leo ni CEO Vodaom. Vijana wangapi wa Kitanzania wamefanya kazi nzuri ndani ya Vodacom hadi yeye na kaka yake ndio wapewe hizi nafasi zote? Hii ni mifano tu ambayo nadhani tungejadili kwa umakini kwa mustakabli wa taifa letu. Hiyo siyo chuki ni picha kamili. CCM ma serkali yake haina Uadilifu. Baadhi yetu tunatarajia kuingia upinzani 2014 uli kuwaonyesha hawa mafisadi kwamba nchi siyo yao.

Watoto wa wakubwa na wenye madaraka wanajazwa kwenye nafasi nyeti na kubwa za uongozi wa hili taifa. Ndani ya CCM hauwezi kupata uongozi bila kuwa na jina kubwa. Watoto wa Mwinyi, Karamagi, Kawawa, Sokoine, Kikwete, Nchimbi, Mzindakaya, Karume etc… watoto wa wakulima wataenda wapi? Benki kuu, ubalozi, NSSF, Foreign Affairs, TRA, etc ni watoto wa wakubwa. Hii tunahitaje kwama siyo uongozi wa kifalme? Ukiwa mwanamke mzuri, unapata viti maalum, ubalozi, uku wa wilaya au mkoa. Ukiwa na ukaribu na watawala

MATOKEO YAKE
Matokeo ya haya yote yamekuwa ni muendelezo wa ufisadi na utawala mbovu. Hali imeendelea kuwa duni kwa sababu hawa ma- Mwinyi wameweka pamba masikioni wakiendelea kujineemesha kwa kodi zetu huku wakitutawala kwa mabavu. Hii ndio sababu kubwa ya hawa mapolisi kuzidi kuwaua raia kwa sababu, viongozi wao, wanaongoza kwa kujuana. CHAMA CHA MAPINDUZI inachukiwa mno kutokana na huu mwendelezo wa undugu na ufisadi. Hakuna hata mmoja anayeweza kuwajibishwa. Kutokana na madhambi yake. Waungwana, tunaomba mjadili hii mada kwa umakini. Tupo wabunge kadhaa Bungeni tunaotayarisha Mswada utakaojadiliwa katika kikao kijacho, ikiwa “bi kiroboto” atakiruhusu

Ngozimbili, Selemani, GameTheory, George Smiley, Dume La Mbegu na Msaidizi wao Nyani Ngabu, njooni mjibu mada siyo copy and paste

Usultani katika siasa na utawala upo toka enzi za Musa (Moses) aliyelelewa na mtoto wa mfalme wa Misri lakini baadae ndiye akawaokoa watumwa wanaesraeli na kuwaongoza nyumbani kwao. Tusidanganyane, hakuna tofauti kati ya CCM au Chadema katika usultani. Hata Nyerere na Mandela walitoka kwenye familia za kichifu na walifanikiwa kwa vile walipewa wito, maono na mafunzo ambayo wengine wengi walikosa, na walifuata nyayo za waliowatangulia ambao walikuwa watawala.

Kuanzisha topiki nzima juu ya ili jambo huku January Makamba akiwa ndio mfano hai wa huo usultani ni mfano mwingine wa unafiki, na ni kazi za watu waliotumwa kumponda mwanasiasa huyu zaidi ya kufanya kazi za ujenzi wa Taifa hili.
 
Ili kujenga hapa lazima tujiulize ana cheti cha four 4 na 6 au hana? kama hana hapo sawa lakini kama alifutiwa matokeo alafu akafanya private candidate akapata cheti hapo hakuna shida kwani watu wanajifunza kutokana na makosa, ila kumbukumbu zinaonyesha huyu jamaa A-level amesoma Forest
 
..........
MATOKEO YAKE
Matokeo ya haya yote yamekuwa ni muendelezo wa ufisadi na utawala mbovu. Hali imeendelea kuwa duni kwa sababu hawa ma- Mwinyi wameweka pamba masikioni wakiendelea kujineemesha kwa kodi zetu huku wakitutawala kwa mabavu. Hii ndio sababu kubwa ya hawa mapolisi kuzidi kuwaua raia kwa sababu, viongozi wao, wanaongoza kwa kujuana. CHAMA CHA MAPINDUZI inachukiwa mno kutokana na huu mwendelezo wa undugu na ufisadi. Hakuna hata mmoja anayeweza kuwajibishwa. Kutokana na madhambi yake. Waungwana, tunaomba mjadili hii mada kwa umakini. Tupo wabunge kadhaa Bungeni tunaotayarisha Mswada utakaojadiliwa katika kikao kijacho, ikiwa “bi kiroboto” atakiruhusu

Ngozimbili, Selemani, GameTheory, George Smiley, Dume La Mbegu na Msaidizi wao Nyani Ngabu, njooni mjibu mada siyo copy and paste

Hatutaki wabunge waoga !

Nadhani wewe sio Mbunge wa bunge JMT,labda mbunge wa bunge lingine. Nakama wewe ni mbuge wa bunge la JMT basi kujiamini kwako kuna walakini. Inakuwaje jambo kama hili unalieleza ukiwa na unverified ID?

Tukirudi kwenye mada yako (ingawa hukuniweka kwenye listi yako ya wachangiaji) ni kama ifuatavyo:

Ulichokieleza kina ukweli kwa kiasi kikubwa. Na haka kamtindo wa kujuana nasikia kameenea mpaka kwenye vyombo vya ulinzi ikiwemo JWA (Jeshi la Wananchi wa Afrika= jina la heshima kwa JWTZ kutokana na mchango wake kwa bara la Afrika katika medani ya kijeshi).
 
Mkuu nngu007, hapo kwenye red natofautiana na wewe kabisa. January sio mtu wa kwanza kuwa na masters hiyo; labda ni mtu wa kwanza anayefahamika ndani ya chama lakini si mtu wa kwanza Tanzania. Vilevile kwenye issue ya foreign affairs; kama unakumbuka data za wiki leaks vizuri; ilitajwa wazi kwamba Kikwete aliomba nafasi za watanzania wawili kama sijakosea, wakasome Marekani. Kwenye wiki leaks walimtaja mtanzania mmoja wapo ni January Makamba. Kwahiyo, hiyo yakusema Mkapa.... si kweli.
Kuhusu kufutiwa mtihani eti kwasababu una "matatizo" na mwalimu? Come on now! There is more to this story. Matatizo gani hayo zaidi ya kuibia au kujaribu kuibia or kuwa na "fake paper" Hivi kwa waalimu wetu wa bongo unafikiri wanaweza kuamua kumnyanyasa mtoto wa kiongozi wa serikali/chama out of no where? Wakati January yuko form four, baba yake alikuwa tayari anafahamika kama kiongozi fulani CCM. There is no way walimu wangeweza kumuonea bila sababu. Hapo naona tunahitaji information zaidi.
However, sina tatizo na January kuwa position hiyo au kupata vyeo ndani ya chama, kama ndio utaratibu Chama kimekubaliana nao then chama hicho hicho kina majukumu yakupambana na huo mfumo.
Watoto wa wakulima/wasionacho ndani ya CCM kama kweli wanachukizwa na huo mfumo, au wanaona watu wanabebwa ndani ya chama; they have to stand up and do something waache kulalamika. Sisi tulio nje ya vyama hatuwezi kuwasaidia chochote.

Nina Maana kupata Bachelor ya Conflict Resol. na Masters ya Conflict. Resol.
 
Back
Top Bottom