Ustadhi Paul Pogba atua Macca kwa ajili ya ibada tukufu ya Hijja!!

Wonderful

JF-Expert Member
Apr 8, 2015
7,347
5,984
wp_ss_20170528_0004.png
wp_ss_20170528_0005.png

Siku chache baada ya kuisaidia Man United kubeba ubingwa wa Kombe la Europa, Paul Pogba ametua Maka nchini Saudi Arabia kwa ajili ya Hija.

Pogba ambaye ni mwislamu, ameamua kufunga mwezi mtukufu wa Ramadhani zote licha ya kwamba atakuwa na mechi za kimataifa.
 
Hahahaha hizi imani hazina tofauti na kuamini ushirikina, kuna Ostadh mmoja nilikuwa namsikia anahubiri ndani ya msikiti kuwa ni dhambi kubwa sana anayecheza na kushabikia mpira, pia na style aliyonyoa Pogba mchezaji hewa wa Man U
 
hahahaha, hili galasa hili aisee, ni kete moja mbovu sana man u waliuziwa mbuzi kwenye gunia.

Tatizo ni kwamba nyie rival fans ndiyo mnaona garasa lakini sisi wenye timu tunaona bonge LA mchezaji

Utalamba matapishi yako muda si mrefu
 
What is so special to him? Ni muislamu kama walivyo Waislamu wengine. Na ni haki yake kufunga na kuzuru Makka kama zilivyo Nguzo tano Kuu za Waislamu.

Au hukujua kuwa ni Ustadhi?
 
Kwani tatizo nini mkuu?
Sidhani kama kuna aja ya kuanza kunichokonoa!!!
Pengine inaonesha unachuki na waislam na uislam wao!!!
 
Hahahaha hizi imani hazina tofauti na kuamini ushirikina, kuna Ostadh mmoja nilikuwa namsikia anahubiri ndani ya msikiti kuwa ni dhambi kubwa sana anayecheza na kushabikia mpira, pia na style aliyonyoa Pogba mchezaji hewa wa Man U
Acha chuki!!
 
Daaah!. Mkuu mimi nimehoji tu na wala sina chuki. Anyway, tusiharibu Swaumu.

Ramadhan Mubarak.
 
Hahahaha hizi imani hazina tofauti na kuamini ushirikina, kuna Ostadh mmoja nilikuwa namsikia anahubiri ndani ya msikiti kuwa ni dhambi kubwa sana anayecheza na kushabikia mpira, pia na style aliyonyoa Pogba mchezaji hewa wa Man U
Vifua vyenu vimejaa chuki na uislamu, nadhani ulitamani kumuona akienda kanisani, hivi inakukera nini wewe kwa yeye kwenda makkah?
 
hahahaha, hili galasa hili aisee, ni kete moja mbovu sana man u waliuziwa mbuzi kwenye gunia.
Takwimu za EPL zinaonyesha ni kiungo bora aliefanya kazi yake kuzidi viungo wote msimu huu, haya huna zaidi ya chuki kisa umeona kaenda makah,
 
View attachment 515597 View attachment 515598
Siku chache baada ya kuisaidia Man United kubeba ubingwa wa Kombe la Europa, Paul Pogba ametua Maka nchini Saudi Arabia kwa ajili ya Hija.

Pogba ambaye ni mwislamu, ameamua kufunga mwezi mtukufu wa Ramadhani zote licha ya kwamba atakuwa na mechi za kimataifa.
Hakuna hijja kipindi hiki, amekwenda umrah
 
Back
Top Bottom