Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,720
- 215,775
Nipo library na wasichana wa kinigeria, kuna wazungu wanasoma pia, hawa wadada hawajali kabisa kama hii ni library, wanaongea habari ya ndoa ya mwenzao, wanaongea kilugha. Hawa wazungu nyuso zao zimekosa furaha, kwakweli mimi mwenyewe ninakereka.
Ninaona vijana wa kizungu wameweka head phones, yaani ustaarabu hawa wa dada umewashinda kabisa.
Ninaona vijana wa kizungu wameweka head phones, yaani ustaarabu hawa wa dada umewashinda kabisa.