Ustaarabu Uliotikisa Dunia

Wanaosema ni propaganda za kiarabu au ni hadithi za kusadikika kwa hakika ni wale walioweka bolt katika nyoyo zao. OTTOMANS EMPIRE NDIO EMPIRE PEKEE ILIYOKUWA ILIYO NA ITAKAYOKUWA MAARUFU MPAKA MWISHO WA DUNIA. Wanaobeza ni Wanaobeza tu kwakuwa ilikuwa ni DOLA YA KIISLAMU.
Vipi kuhusu DOLA LA ROMA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ni kuwa alikufa, au hujui maana ya kifo? Pia kachapwa bakora na viumbe wake atawezaje kuwaadhibu sasa kama yeye mwenyewe wamemwadhibu!
Kama unamzungumzia Yesu basi jua tu kuwa kuzaliwa, kuteswa na kufa kwake kulishatabiriwa na ni mapenzi yake mwenyewe aliruhusu kuchapwa bakora kama unavyosema, yeye mwenyewe alisema nautoa uhai wangu na ninautwaa tena. Na kwa ushahidi ni kwamba alifufuka kama mwenyewe alivyosema sasa tatizo liko wapi? Na kama aliahidi vyote hivyo na vikatokea na aliahidi neno lake ndio litakalohukumu basi elewa kuwa atahukumu kweli kama alivyosema
 
Mungu hawezi kukubali kuhidhalilisha kiasi hiki kwa viumbe wake, ili iweje amekosa mbinu za kuwaokoa. Pamoja na kujiaibisha kote bado watu wakamkataa, akaamua kukimbia kurudi mbinguni, sasa mbinu yake ilishinda au ilifeli?
 
wewe ukifa ni mwili ndo unabaki ardhini, roho yako itaishi milele aidha peponi au jehanamu. Mungu kuendesha dunia sio lazima aoenekane kwa macho duniani. Aweza kuonekana mbinguni na malaika huku akiiendesha dunia
mbingu ni wapi!??
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom