Johnsecond
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 1,076
- 211
CCM wanajikwaa kila mahali ili mabadiriko yaweze kutokea. Kwa waliopendekezwa na CCM kugombea basi CCM haina spika. Tumwombee Mabere Marando apite ili mabadiriko yatokee.
CCM wanajikwaa kila mahali ili mabadiriko yaweze kutokea. Kwa waliopendekezwa na CCM kugombea basi CCM haina spika. Tumwombee Mabere Marando apite ili mabadiriko yatokee.
Jamani wana JF naomba mnisaidie kwa hili; hivi chama kimoja kinaruhusiwa kupeleka wagombea usipika zaidi ya mmoja!?
mdau mamob huko kwenye chama si mazuri yani kifo cha chama chetu cha mapinduzi kiko njiani maana sasa wamewaweka kina mama watatu kuwaania nafasi ya uspika na leo nilisoma mwananchi walifanya mahojiano na makamba ila inaonekana hatua ya chenge kumsuta hadharani sita ilikuuwa ni mpango kabambe sasa inaonesha kuwa hawataki mabadiliko inabidi sasa upinzani ndio wachague spika huenda demokrasia ya kweli ikawepo. sina maan kuwa kina mama hawaawezi kazi ila kwa kipindi cha sasa ilitakiwa sitta aendelee