Uspika: Ni kitu gani nyuma ya pazia?

Real Jigabha

New Member
Oct 14, 2010
1
0
Katibu Mkuu wa CCM, Yusuf Makamba anasema "tangu uhuru mihimili yote mitatu ya dola imeshikiliwa na wanaume sasa imefika kwa wanawake kupewa nafasi ya kuongoza mmoja wa mihimili hiyo yani bunge" anaongeza "Hawana tatizo na Sitta kila mtu anajua jinsi utendaji kazi wake ulivyo tukuka"

Mimi siamini kama kweli sababu ya Anna Makinda kuteuliwa na CCM kuongoza chombo kama Bunge ni uwanauke wake ni zaidi ya hapo??

Swali la msingi kwa nini iwe sasa? Ni kitu gani CCM walichoogopa kuhusu Sitta?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom