Uso wangu una mafuta mengi, tafadhali nisaidieni

kimbendengu

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
6,032
10,244
kama mada inavyosema uso wangu unamafuta mengi hivyo naomba mafuta gani mazuri kwa kupaka asante
 
  • Thanks
Reactions: nao
Usitumie kemikali zozote zitakuaribu. Kama ni man kachote maji ya baharini uwe unasuuza uso bila kupaka mafuta.....au badili mafuta ,usitumie lotion.


Kama mdada tafuta mafuta yenye combination ya limau matango.
 
Hii hapa tea tree iko vizuri sana kwenye ngozi ya uso yenye mafuta.. Pia ni kwa jinsia zote na haichubui, karibu sana.


75f6bdcd5e108bf1947823872597328a.jpg


Ukihitaji tuwasiliane 0672416294/0629273281

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanya scrub ya sukari na limao mara kwa mara

Namna ya kutengeneza
Sukari vijiko 3/4,nusu limao changanya..waweza weka drops chache za olive oil


Massage/scrub uso polepole sana.. Km baada ya dk kumi nawa lalaaaa.....usisahau kunitaja ukiona matokeo
Ts too cheap wewe na mda wako tu
 
Back
Top Bottom