Uso na miguu ya mwanamke hueleza ubora wa mashine yake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uso na miguu ya mwanamke hueleza ubora wa mashine yake

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kazikubwa, Aug 14, 2012.

 1. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kumekuwa na habari za chini kwa chini kuwa kuna baadhi ya makabila hasa wazee wa makamo hupewa elimu ya kumtambua mwanamke mwenye mashine safi kwa kuangalia mdomo na mpangilio wa vidole vya miguu yake. Elimu hiyo ni siri na hawataki vijana waijue.

  Wazee hawa hutumia elimu hiyo kuopoa na kuoa vibinti vidogo. Chaguo la mzee halina kasoro kuhusu mashine. Dhamira kubwa ya kupeana elimu hiyo ni kumalizia umri wao kwa furaha kama alifanya kosa enzi za ujana kuvamia mashine feki ambaye sasa ni bimkubwa.

  Vijana nasisi tunaitaka hiyo elimu ili tule vizuri tangu ujana. Kama kuna mtu mwenye ujuzi huo atujuze ili nasi tule matunda ya uhuru mapema na siyo kusubiri miaka 55 kama mifuko ya pensheni. Kuufikia umri huo ni mtihani kwetu vijana.
   
 2. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mashine? Disambiguate please!!
   
 3. ram

  ram JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 6,224
  Likes Received: 914
  Trophy Points: 280
  Wasubiri wanakuja.....
   
 4. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #4
  Aug 14, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Nadhani Babu DC anaweza kutusaidia
   
 5. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #5
  Aug 14, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Mashine?
  Mkuu hata kwenye gari mashine inategemea na udereva wako!
  Kila mashine yafaa kwa matumizi hakunaga mashine mbaya!
   
 6. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #6
  Aug 14, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  well said!
   
 7. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #7
  Aug 14, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Nibonyezee basi kitufe..lol!
   
 8. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #8
  Aug 14, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kazikubwa hii elimu ipo nami naijua. Vidole vya miguu vikiwa na uwazi mkubwa na mashine inakuwa pana avv. Midomo ikiwa mikubwa basi mashine inakuwa na mdundo mkubwa. Mwanya ukiwa mkubwa basi mashine inakuwa kubwa sana. Meno madogo yaliyokaribiana basi huo ni mnato wa nguvu. Vidole vikiwa virefu sana basi mashine iko deeep sana avv. Hiyo ni kwa uchache tu. Haya mkachgue sasa mashine nzuri.
   
 9. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #9
  Aug 14, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  hakunaga used wala iliyochoka ndiyo maana hata vibibi vinabakwa!! ni jinsi tu unavyoitumia na service unayoipa, kama imekuwa kavu weka grease, kama ina kutu isugue kwa msasa! kama imetanuka mpeleke mwali wako mkoleni wabibi wanayajua majani inarudi kuliko mwanao wa mwisho! na mengine mengi, hutachoka wala kukinai! naamini mashine zote super ni vile tu mtumiaji na mtumiwaji wanavyojiweka!
   
 10. sakapal

  sakapal JF-Expert Member

  #10
  Aug 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,824
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  nakukubali mia kwa mia, kwani ugali unasongwa na mwiko au unasongwa na mkono?............
  ukijua kusonga ugali sufuria yoyote haikupi shida iwe sufuria yenye mshikio, yenye mikono miwili, yenye midomo, isiyo na midomo, ndogo, kubwa, kwenye mafiga, kwenye mkaa, kwenye gesi, kwenye umeme, kwenye mchina, ugali utaiva tuu ila kama hujui kusonga loooh hata uletewe presha kuka utafeli.......
   
 11. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #11
  Aug 14, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  najua lakini sisemi....mpaka mnilipe.....
   
 12. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #12
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  nakupinga kwa nguvu zote bibie,kuna mashine hata ukitumia utaalamu wako woote,bado work done= zero,kitu kipana afu deep!!super viko adimu sana esp nowdays!!kila ukigusa mashine,unakutana na FIAT.
   
 13. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #13
  Aug 14, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Lol!
  Thats why i love u my dear sakapal
  Kweli bana 'kila chombo na wimbile'
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Ndukidi

  Ndukidi JF-Expert Member

  #14
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 821
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  ndo maana unaambiwa hakuna machine used, ukiona hivyo ujue wewe hukujaliwa una kibamia... wenzako wengine tunapenda mashine kubwa halafu zilizo kuwa deep.
   
 15. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #15
  Aug 14, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  waaaaaa......!!
   
 16. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #16
  Aug 14, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  na mimi nakupinga babito mnoooo! ukiona unapwaya jijue we ndio unatakiwa kukikuza kibamia chako, haiwezekani wewe tu, wakati wenzio wanabaka vibibi kila kukicha na mijimama yenye watoto 6 lakini bado huduma ipo safiiiiii kama mwezi mchanga! ukiona unapwaya tafuta ndogo utakayofit nayo, coz yule mdada mwenye kina kirefu na pana hata yeye ana partner wake ambaye wanafit kabisaaa! ukijijua we yako ndefu na pana kwa nyie wakaka, basi fuateni ushauri hapo juu tafuteni pia wadada wenye vidole virefu mtafit tu mbona jamani??
   
 17. m

  mwita ke mwita JF-Expert Member

  #17
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 5,501
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  domo kubwa= k kubwa
  upana wa mdomo= upana wa k
  nyosha vidole vyako dole gumba liwe nyuma then urefu wa kutoka dole gumba hadi kidole cha kati= urefu wa mashine ya mume
  shikanisha kidole cha pili na dole gumba= unene wa mashine mume
   
 18. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #18
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  preta unashangilia eti lol,vipi iko deep sana eeh
   
 19. sakapal

  sakapal JF-Expert Member

  #19
  Aug 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,824
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Umeona eeh SnowBall na ili ugali usiwe na mabongebonge au mabujabuja shurti mwiko usonge ugali kwa speed na nguvu ukiskia ugali unavimba kwa juu kama puto na kurudi chini puuf na unatoa moshi kwa wingi basi ugali wako utakuwa umeiva lol tena unanukia ati eeeeh! hapo shurti mwiko uoshwe usilowekwe mmmhmmmh!
  nimejisahau kumbe niko MMU sio kwenye kichen party lol am sorry pples oooo
   
 20. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #20
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  na wewe nae mh
   
Loading...