Uso kwa uso na msichana kwa mara ya kwanza ni fanye nini?

Kuna ugumu gani?

Kiuchumi. hali ya maisha kwa sasa ni ngumu sana, kijana wa miaka 21 lazima atakuwa chuo au katika miaka yake ya mwanzo kazini. Hapo kumpa mzigo wa kuoa ni kuongeza mzigo kwa taifa.
Kijamii, jamii inamtegemea kijana kwa ulinzi na uzalishaji mali, kwa umri huu kuoa ni kuondoa attention kwa jukumu hili kwa jamii na kuhamishia kwa mke.
Kisiasa, huu ni umri wa harakati na kujitoa, kijna akiwa na mke ita compromise ushiriki wake( angalia, zitto,mnyika, sugu, wote hawajaoa ndio maana wanaweza kuthubutu)
Kimazingira, mke ina maana kijana pia ataanzisha familia yake tofauti na ile ya wazazi wake that means matumizi zaidi ya nishati, na uzalishaji wa uchafu, kupunguza uharibifu wa mazingira ni bora vijana wachelewe kuoa.
 
Si kweli maneno yako, maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua, uko unapotaka wewe aelekee ndio kwenye maangamizi makubwa sana, na ndio kwenye matumizi mengi ambayo angeweza kuyaepuka.

Unapomfata mwanamke ili ukazini naye, mara nyingi tumeshuhudia matumizi mengi ili kuonyesha kuwa wewe unazo na mwanamke akupende. Mtakwenda Guest House, mtakunywa na kula na pesa utampa.

Lakini kama ni mkeo, nyumba unayoishi ndio atakayoishi, chakula utakacho kula ndio atakacho kula, na wakati mwingine mke anaweza kuwa naye ni mfanyakazi, na si lazima ategemee kila kitu toka kwa mume, kwa ufupi watasaidiana maisha.

Jamii inawaamini sana wanaume wenye majukumu na haswa wale walio owa, hata heshima yake itaongezeka. Mwanaume anapooa, uachana na mambo yote ya kupoteza wakati na hata makazini wanakuwa ni wachapakazi hodari na kwa sababu anajuwa kuwa ana mtu nyumbani ambaye anamtegemea, kwa hiyo hafanyi mchezo na wala hawi mzembe.

Kisiasa walio owa ni watu makini sana kwa sababu kama unashindwa kuongoza nyumba yenye mke mmoja labda na mtoto mmoja ama wawili, basi vipi tukupe jukumu la luongoza maelfu ya watu. Tunasema kama wewe ni mtu bora nyumbani kwako basi utakuwa vilevile bora kwa jamii.

Hao uliowataja hapo, ebu angalia maamuzi yao na ushirika wao kisiasa, bila kuingiza ushabiki theni utatambua wamesimamia wapi.

Hii kwa kiingereza ndio tunaita Covetousness, Avarice, greediness.

Unasema kuwa vijana ni vema kuacha kuoa, kwa maana waendelee uzinifu na wanawake watabebeshwa mimba na kuzaa watoto watakao lelewa bila baba zao, na ili ni janga kubwa sana kwa dunia hii ya leo.

Naam, wachumi wa Kimagharibi ndio walikuwa na mawazo hao, na ili walilipigia sana debe kwenye nchi zao, na matokeo yake ikapatikana gape kubwa sana kati ya vijana na wazee, hivi sasa wanasisitiza wananchi wao wazaane kwa sababu wageni kutoka nje ndio wenye kushika atamu kwenye nyanja za uzalishaji mali.

Kwa nini tukimbilie dhana ya upunguzaji wa watu na hatuikimbilii dhana ya kuongeza uzalishaji na kuboresha huduma za kijamii?

Kwa nini tusiikimbilie dhana chanya ya uongezaji wa uzalishaji, dhana ambayo itatusukuma kuongeza nguvu kazi za makusudi ili kukuza hali ya uchumi?

Rasilimali ya kututosha sisi leo na hao watakaokuja kesho tayari ipo, kinachohitajika tu ni nguvu kazi iambatanayo na juhudi, maarifa na matumizi sahihi ya rasilimali hiyo, sambamba na kuilinda kwa faida yetu na faida ya vizazi vijavyo.
 
Jamani niambie nifanye nini ili huyu binti ninayeenda kukutana nae jmosi asinione boya maana sijawai kuwa na msichana tangu nibalee!
unaishi wapi wewe, yaani hata akina dada, majirani, mashangazi, nk hujawahi kuwa nao?? hata kwa lunch au hata kwenye foleni za luku??
 
Yeah naheshimu mawazo na mchango wa kila mtu!wakati mwingine inanipa ugumu kuchagua mawazo yapi ni mazuri zaidi!ila kila mtu anapojaribu kukosoa mawazo ya mwingine hii inanisaidia kujua la kuchagua!najua yapo mawazo ya KISIASA,KIJAMII,KIUCHUMI,KIDINI,KIUTAMADUNI, na hata KIUTANI,mawazo yote hayo ni muhimu kwangu!KARIBU na changia zaidi!
 
we nendatu, mkishafika huko chumbani utaona mwenyewe utakavyoanza kujua cha kufanya atomatically.
 
Raha ni nyama kwa nyama, kula raha dogo, husipofanya leo utajikuta unateseka sana na kuangaika na wanawake hata baada ya kuoa, kula mambo roho inataka hata kama ni nyama ya bata wewe kula tu, kula ni kula bora husikombe mboga.

Ila yeye anaweza kuwa mtaalam kwahiyo jifunze kutoka kwake lakini pia husimwambie hujawai kufanya maana kama hana bikra inaweza kumshusha mzuka.
 
usiwasikilize hao wanafiki, mtu wa miaka 21 unamuambia asubiri nini sasa.

si ndio hapo man, miaka 21 jitu zima kabisa, wamuache dogo akale raha, usawa huu wa Bongo life expectancy yenyewe kwa sasa ni 22 -24 mwisho.
 
Suala si kujua tu zuri na baya.............................ni kujitambua na kutambua thamani yake kama kijana,kutambua lengo la uwepo wake hapa duniani kama mwanadamu.....kuweza kizikabili changamoto zinazomzunguka kama kijana.............................

Peter mi nimegundua wewe ni kijana jasiri sana..............hongera kwa kuweza kufikia umri huo ukiwa bado umejitunza..................
Wewe ni miongoni mwa vijana wachache sana wanaotambua thamani ya miili yao......... unaitambua thamani yako kama kijana..............
Niko so proud kuona kuwa tuna vijana kama wewe kwenye jamii yetu......ni vijana wachache sana wa umri wako na hata waliokuzidi....wenye busara kama wewe.........

Ni kweli umekubali kushindwa?...........................umekubali kuongozwa na MWILI badala ya AKILI?................mimi sidhani....................
Umeamua kuutumikia mwili badala ya kumtumikia Mungu wako?.................pia sifikirii hivyo..............
Huyo msichana hana tofauti na dada yako.......................je ungependa na dada yako atendewe hivyo siku moja?

YASHINDE MAJARIBU........
hiyo siku uliyopanga kuonana naye...............ahirisha.......mjulishe kuwa umedharurika......utamtafuta sku nyingine......kisha ujikeep busy na mambo ya msingi

mmhhh we sasa too much lol upo kwa Kakobe nn!
 
Si kweli maneno yako, maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua, uko unapotaka wewe aelekee ndio kwenye maangamizi makubwa sana, na ndio kwenye matumizi mengi ambayo angeweza kuyaepuka.

Unapomfata mwanamke ili ukazini naye, mara nyingi tumeshuhudia matumizi mengi ili kuonyesha kuwa wewe unazo na mwanamke akupende. Mtakwenda Guest House, mtakunywa na kula na pesa utampa.

Lakini kama ni mkeo, nyumba unayoishi ndio atakayoishi, chakula utakacho kula ndio atakacho kula, na wakati mwingine mke anaweza kuwa naye ni mfanyakazi, na si lazima ategemee kila kitu toka kwa mume, kwa ufupi watasaidiana maisha.

Jamii inawaamini sana wanaume wenye majukumu na haswa wale walio owa, hata heshima yake itaongezeka. Mwanaume anapooa, uachana na mambo yote ya kupoteza wakati na hata makazini wanakuwa ni wachapakazi hodari na kwa sababu anajuwa kuwa ana mtu nyumbani ambaye anamtegemea, kwa hiyo hafanyi mchezo na wala hawi mzembe.

Kisiasa walio owa ni watu makini sana kwa sababu kama unashindwa kuongoza nyumba yenye mke mmoja labda na mtoto mmoja ama wawili, basi vipi tukupe jukumu la luongoza maelfu ya watu. Tunasema kama wewe ni mtu bora nyumbani kwako basi utakuwa vilevile bora kwa jamii.

Hao uliowataja hapo, ebu angalia maamuzi yao na ushirika wao kisiasa, bila kuingiza ushabiki theni utatambua wamesimamia wapi.

Hii kwa kiingereza ndio tunaita Covetousness, Avarice, greediness.

Unasema kuwa vijana ni vema kuacha kuoa, kwa maana waendelee uzinifu na wanawake watabebeshwa mimba na kuzaa watoto watakao lelewa bila baba zao, na ili ni janga kubwa sana kwa dunia hii ya leo.

Naam, wachumi wa Kimagharibi ndio walikuwa na mawazo hao, na ili walilipigia sana debe kwenye nchi zao, na matokeo yake ikapatikana gape kubwa sana kati ya vijana na wazee, hivi sasa wanasisitiza wananchi wao wazaane kwa sababu wageni kutoka nje ndio wenye kushika atamu kwenye nyanja za uzalishaji mali.

Kwa nini tukimbilie dhana ya upunguzaji wa watu na hatuikimbilii dhana ya kuongeza uzalishaji na kuboresha huduma za kijamii?

Kwa nini tusiikimbilie dhana chanya ya uongezaji wa uzalishaji, dhana ambayo itatusukuma kuongeza nguvu kazi za makusudi ili kukuza hali ya uchumi?

Rasilimali ya kututosha sisi leo na hao watakaokuja kesho tayari ipo, kinachohitajika tu ni nguvu kazi iambatanayo na juhudi, maarifa na matumizi sahihi ya rasilimali hiyo, sambamba na kuilinda kwa faida yetu na faida ya vizazi vijavyo.

Hivi nasikiaga ukiacha U Pastor wanakuwaga wana siasa au? mkuu upo juuu kila kona....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom