Uso kwa uso na msichana kwa mara ya kwanza ni fanye nini?

tuwe fair jamani haya mambo yapo,age kama hizo hormones zipo high high na inaonyesha amesha make his mind.kikubwa kijana play safe usifanye kitu kama haupo tayari.vile vile usiyaendekeze sana. elimu pia iweke kipao mbele hayo mapenzi yapo kila siku,usiwe mtu wa kubadilisha badilisha,dunia ya leo haifai kufanya hivyo.just be careful.hala hala kinga.
 
Kwa kuwa wewe ulishindwa kusubiri ndio unataka kumpotosha mwenzako?Wewe uliyewahi mpaka leo umeshafikisha wangani?.....na umepata faida gani?(Kama ni ufahari......orodhesha true list yako hapa)..........ninachoona kwako ni kuwa ulikosa ushauri kwa wakati muafaka.
Kama unaona ni jambo sahihi...............subiri uzae wako...........akibalehe tu.........mtume akaanze uzinzi!

Nyie tunawaita(msukumo rika).....ndio mnafanya wenzenu wanaosubiri wajione hawajakamilika...........kumbe nyie mliowahi ndio hamjakamilika kifikra.............kimaadili.........................kiimani

Mnataka kuwapush wenzenu kwenye uzinzi ili mkae kwenye boat moja..............badala ya nyie kubadilika na kutunza miili yenu.....
Mnajifanya mnayajua sana maisha............mkisha kumbwa na VVU..........broken hearts...........watoto msiotarajia................ndio mnaanza kujuta..............

Bado nakushauri mdogo wangu Peter.................zingatia maadili uliyopewa na wazazi.................naamini mpaka unafikia hapo,wao wana mchango mkubwa sana..............................
 
tuwe fair jamani haya mambo yapo,age kama hizo hormones zipo high high na inaonyesha amesha make his mind.kikubwa kijana play safe usifanye kitu kama haupo tayari.vile vile usiyaendekeze sana. elimu pia iweke kipao mbele hayo mapenzi yapo kila siku,usiwe mtu wa kubadilisha badilisha,dunia ya leo haifai kufanya hivyo.just be careful.hala hala kinga.

Umemshauri vizuri..............ila kwa kuwa hajasema kama ameshindwa kabisa kuendelea kusubiri.................si sahihi kumsindikiza huko uzinzini kimawazo/kiushauri................kutumia kinga ni last option kwa kijana wa aina hii.Ajitahidi kuendelea kusubiri.

Homonies zinapochemka si lazima zikazimishwe kwa sex(uzinzi)....................

Hebu jiulize,yeye ana 21yrs.............huyo binti anayesubiriwa chumbani ana umri gani?...........mpaka atakapofikia umri wa kuolewa atakuwa ameshatuliza hormonies za wavulana wangapi?...........kwasababu what they want at that age......ni kushusha ule mhemko unaotokana na hormonies tu..................na si vinginevyo.

Si tunawaona hapa kila siku......"ooh nimekuta wabaridi"......."ooh sijui hana ladha",n.k.......zote hizo huwa ni sababu tu.......kwa kuwa wameshatoa kiu.
Hivi hayakuumi hayo kama mwanamke.......mlezi/mzazi wa baadae?
 
hakuna anaependa uzinzi,nina amini kwa umri wake,anajua zuri na baya,yeye kama yeye ameshaamua,hata kama ukimwambia asifanye atafanya tu.bora a play safe
 
hakuna anaependa uzinzi,nina amini kwa umri wake,anajua zuri na baya,yeye kama yeye ameshaamua,hata kama ukimwambia asifanye atafanya tu.bora a play safe

Suala si kujua tu zuri na baya.............................ni kujitambua na kutambua thamani yake kama kijana,kutambua lengo la uwepo wake hapa duniani kama mwanadamu.....kuweza kizikabili changamoto zinazomzunguka kama kijana.............................

Peter mi nimegundua wewe ni kijana jasiri sana..............hongera kwa kuweza kufikia umri huo ukiwa bado umejitunza..................
Wewe ni miongoni mwa vijana wachache sana wanaotambua thamani ya miili yao......... unaitambua thamani yako kama kijana..............
Niko so proud kuona kuwa tuna vijana kama wewe kwenye jamii yetu......ni vijana wachache sana wa umri wako na hata waliokuzidi....wenye busara kama wewe.........

Ni kweli umekubali kushindwa?...........................umekubali kuongozwa na MWILI badala ya AKILI?................mimi sidhani....................
Umeamua kuutumikia mwili badala ya kumtumikia Mungu wako?.................pia sifikirii hivyo..............
Huyo msichana hana tofauti na dada yako.......................je ungependa na dada yako atendewe hivyo siku moja?

YASHINDE MAJARIBU........
hiyo siku uliyopanga kuonana naye...............ahirisha.......mjulishe kuwa umedharurika......utamtafuta sku nyingine......kisha ujikeep busy na mambo ya msingi
 
Kwani unafanya shughuli gani??
Piga nae tu stori za kawaida, andaa mazingira ya kumzoea kwanza........
 
kichwa kikubwa kitakapo kuwa under control ya kichwa kidogo utajua cha kufanya
 
Jamani niambie nifanye nini ili huyu binti ninayeenda kukutana nae jmosi asinione boya maana sijawai kuwa na msichana tangu nibalee!

Jamani Peter, kukubali kukutana nawe hiyo jmosi ndo umeamua kuandika humu JF? halafu kwani nilikwambia nitakupa? mbona unajiandaa sana lol... (JUST KIDDING guys).
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom