Uso kwa uso na Lameck Mwigulu

Niliwaho kupita sehemu flani Dar pale boko basihaya na pale dodoma mbele ya mzani kulia kuna mawe akayafute haraka.
Kuna sehemu huku sangasanga (Morogoro) imeandikwa Mwigulu Rais
 
Kwa hoja yako,ina maana Mwigulu hana mgahawa anaoweza kuingia pale Kiomboi,Misigiri ama Shelui?
Maana hakuna mgahawa kwenye maeneo hayo unaoizidi Mc claree

Sent using Jamii Forums mobile app
😝😝😝😝
Kule mzee si jimboni kwake huko singida mjini sio jimboni kwake alafu ni mtu mkubwa sana Mwigulu ana wadhifa kujibanabana mle kwenye kamkahawa ni aibu
 
Kule mzee si jimboni kwake huko singida mjini sio jimboni kwake alafu ni mtu mkubwa sana Mwigulu ana wadhifa kujibanabana mle kwenye kamkahawa ni aibu
Hivi ni mwigulu huyu unaye mpaisha ama kuna mwingine tusiyemjua??
IMG-20200106-WA0005.jpeg
 
Bwn Madelu popote ulipo mm nakuombea urudi kwenye levo zako za juu.....
hopefully utarudi....
siasa ni mbio ndefu.....
kuna kupanda na kushuka...
usikate tamaa..
 
Unataka nisemeje. Yeye ameweza ku reproduce kile alichofundishwa na walimu lakini hana ubunifu wa kutoa wazo original. Zaidi ya kusema maiti ni za wakimbizi wakati hata kuziona hajaziona.
Mtu kama msukuma hajasoma lakini anaakili.
Kibajaji hajasoma halafu hana akili.
Kishimba hajasoma lkn ana akili
Huyu jamaa yako amesoma lkn hana akili.
Niongeze mifano au umeshaelewa mkuu?
Nadhani akili anazo ndio maana akasoma, labda kunaweza kuwa na tatizo jingine kwake ila sio ukosefu wa akili.
 
😝😝😝😝
Kule mzee si jimboni kwake huko singida mjini sio jimboni kwake alafu ni mtu mkubwa sana Mwigulu ana wadhifa kujibanabana mle kwenye kamkahawa ni aibu
Ni mtu mkubwa sana kwenye kitu gani wewe pi.mbi? Wabunge wangapi wanakula kwa akina Mama Ntilie? Wewe unaishi kijiji gani huko?
 
Back
Top Bottom