Uso kwa uso Mwigulu Nchemba na Joshua Nassary makunyuni ktk kampeni za udiwani

nassiry

Senior Member
May 7, 2013
182
36
Wamasai wa makuyuni wanakwenda kuhushangaza ulimwengu jpili kwenye kura jinsi chadema inakwenda kushinda kwa kishondo kata ya makuyuni na kata nne za arusha mjini.aluta continua
 
Sasa Mwigulu anakwenda kufanya nini Makuyuni tena wakati alishasema watu wa arusha ni kama mbwa?
 
Mkuu ukisema "god" unamaanisha miungu au shetani...ungepaswa useme "God"yaani Mungu !

Hahaaaa....... Mkuu umemaanisha god ni vile vi miungu vidogo vidogo vinavyougua afu vinakufa!

Hakika Olevaroya atakuwa alimaanisha Mungu mtakatifu asiyeugua wala kuzeeka, yaani Mungu aishiye milele yote!
 
Back
Top Bottom