Mwangaza Senior Member Feb 26, 2008 198 64 Sep 27, 2011 #1 click hii link chini ujionee magamba walivyo waongo kama mkuu wao kaya; chadematv's Channel - YouTube.
click hii link chini ujionee magamba walivyo waongo kama mkuu wao kaya; chadematv's Channel - YouTube.
F FUSO JF-Expert Member Nov 19, 2010 31,599 37,797 Sep 27, 2011 #2 jamani kudesa nako kunataka uzoefu - dr. mwongo kibao - ha ha ha
Zak Malang JF-Expert Member Dec 30, 2008 5,404 233 Sep 27, 2011 #3 Hivi watu wa igunga watakubali kweli kurula mkojo na kukanyaga mavi?
Majoja JF-Expert Member Jun 10, 2011 612 186 Sep 27, 2011 #4 Mbona kwenye mdahalo wagombea wengine walikula tuition nzuri tu toka kwa Dr.