Kaka mkubwa heshima yako! naomba kuuliza hivi umewahi kuhudumu kwenye chombo chochote cha habari?Jinsia yangu ni ME, Kijana mpole sana na mwenye aibu ....ebu tupige story kidogo , ni vitu gani vimekua vikikufuraisha/ kukuboa kuhusu warumi?, na ungependa kufahamu nini kuhusu warumi?
Kinachonifurahisha nini wewe kuwa Team Magufuli 💪💪.Jinsia yangu ni ME, Kijana mpole sana na mwenye aibu ....ebu tupige story kidogo , ni vitu gani vimekua vikikufuraisha/ kukuboa kuhusu warumi?, na ungependa kufahamu nini kuhusu warumi?
Jinsia yangu ni ME, Kijana mpole sana na mwenye aibu ....ebu tupige story kidogo , ni vitu gani vimekua vikikufuraisha/ kukuboa kuhusu warumi?, na ungependa kufahamu nini kuhusu warumi?
Anapenda kutumia neno (shogaa au shostito)Mmmhhh Mbona kwenye baadhi ya comments mademu wa humu unawaita Mashosti??
Mimi huwa unanifurahisha unapoweka thread halafu nyumbu kama hamsini unawashinda hoja wanabaki kutukana!Kinachonifurahisha nini wewe kuwa Team Magufuli 💪💪.
Unanidai kinywaji chochote kile ukipendacho.
Maajab ya dunia.... ety warumi dume la mbegu!!Jinsia yangu ni ME, Kijana mpole sana na mwenye aibu ....ebu tupige story kidogo , ni vitu gani vimekua vikikufuraisha/ kukuboa kuhusu warumi?, na ungependa kufahamu nini kuhusu warumi?
Babe...🤭Tukujue ili iweje sasa?
Dunia panuka...🤣🤣🤣Maajab ya dunia.... ety warumi dume la mbegu!!
Mwali, ebu malizia ulichotaka kusema...😂😂Aiseeee
Mimi huwa unanifurahisha kwa hoja zako fupi lakini Kali na zenye mashiko kwa nyumbu waliopo humu.,Mimi huwa unanifurahisha unapoweka thread halafu nyumbu kama hamsini unawashinda hoja wanabaki kutukana!
Mkuu, najua yalokusibu...😂😅🤣Dah, Mkuu nisamehe sana! Miaka yote najua(ga) wewe sio ME! Doh salaaaleh.... Nisamehe sana!