weNenda ukaolewe na huyu Lisu wako mzee wa MIGA
Wewe utaolewa na ********?
weNenda ukaolewe na huyu Lisu wako mzee wa MIGA
Wewe utaolewa na ********?
MAMBO 11 USIYOYAJUA KUHUSU TUNDU LISSU
1. Je Wajua Tundu Lissu Aliwatoa Gerezani BURE Wananchi 466 Wa Tarime Waliofungwa Kwa Kupinga Mwekezaji Asiwanyanganye Ardhi Yao?
2. Je Wajua Tundu Lissu Alishawai Kupigwa Marufuku Asikanyange Nyamongo Kwasababu Ya Harakati Zake Za Kuwatetea Wananchi Dhidi Ya Wawekezaji?
3. Je Wajua Tundu Lissu Alipambana Na Kaka Yake Alute Lissu Mahakamani Kwenye Kesi Ya Kupinga Ubunge Wa Lema, Alute Akiitetea CCM Na TL CHADEMA?
4. Je Wajua Tundu Lissu Akiwa JKT Itende Alidhaniwa Kuwa "Usalama Wa Taifa" Kutokana Na Tabia Yake Ya KUHOJI Bila Woga?
5. Je Wajua Tundu Lissu Alipambana Na Serikali Ya Mkapa ISIUZE Rufiji Delta Kwa Mwekezaji Nolan, Hadi Bank Ya EIB Ikagoma Kutoa Mkopo Kwa Nolan?
6. Je Wajua Mwaka 2004 Freeman Mbowe Alimuomba Tundu Lissu Ajiunge CHADEMA Baada Ya Kumtetea Chacha Wangwe Kwenye Kesi 10 Za Jinai?
7. Je Wajua Tundu Lissu Alianza Kushtakiwa Kwa "Uchochezi" Mwaka 2001 Na Mpaka Leo Hajawai Kukutwa Na Hatia?
8. Je Wajua Kwenye Kampeni 2010 Kikwete Aliwai Kusema Ni Heri Dr.Slaa Awe Rais Kuliko Tundu Lissu Awe Mbunge?
9. Je Wajua 70% Ya Kesi Anazozisimamia Tundu Lissu Halipwi Chochote Na Watu Anaowatetea, Yeye Hufurahi Akiona Mtu Haonewi Wala Kunyanyaswa?
10. Je Wajua Tundu Lissu Hutumia Mshahara Wake Wa Mbunge Kusafiri Maeneo Mbalimbali Nchini Kuwatetea Walalahoi BURE Mahakamani?
11. Je wajua Tundu Lisu alipigwa risasi 16 hakufa?
C&P
hivi ulitaka uone ninindiyo ujueameweza kuongoza haya yote aliyoyafanya kwa kipindi kifupi tu kafanya babayako au? kuweni na adabuMagufuli amethibitisha kwa vitendo kuwa hawezi kuiongoza nchi
mnafananisha huyu chizi na mussa? huendi mbinguni!!!!!Huyu ni mteule wa Mungu kama alivyokuwa Mussa kwa wana wa Israeli.
madiba uliona au ulisikia lini kaitukana nchi yake huyu si chizi tuLissu ni Madiba wa Tanzania
Kila mmoja na akili yakeTundu Lissu ni MTU wa watu. Magufuli hafanyi mambo kwa ajili ya watu, ila anawatumia watu kujijengea umaarufu
Nenda ukaolewe na huyu Lisu wako mzee wa MIGA
BTW, JPM alikuwa amepanga kutekeleza mradi gani kwa gharama za rambi ya kifo cha Lissu?mnafananisha huyu chizi na mussa? huendi mbinguni!!!!!
Sijui kama uko sawa upstairs, mimi sijamtuhumu mtu ila nimesema anayefanya matendo hayo ndiye ataichafua nchi yetu kwenye uso wa dunia, labda niongezee kuwa wanaoacha vitendo hivi viendelee kushamiri bila kuvikomesha nao pia wanashiriki kuichafua nchi.sawa ndiyo anaichafua nchi je ni nani/ niwatuwasiojulikana kama unawajuwa hebu wataje maana polisi au mtu yeyote hajawahi kuwaona au kuthibitisha kuwa ni fulani huo ni uhayawani wa lissu tu kuongea asicho kijua hawezi kuongoza nchi
Propaganda za kijinga.amenyalua hekta zaidi ya 5000 Karagwe na kuifanya ranch ya ngombe wake! akija kumaliza 50% ya ardhi ya tanzania itakuwa mali yake!
Endeleeni kupeleka kenge na Nguchiro Chato.hivi ulitaka uone ninindiyo ujueameweza kuongoza haya yote aliyoyafanya kwa kipindi kifupi tu kafanya babayako au? kuweni na adabu
Acha wivu wa kike,imekupenya sana hii!Nenda ukaolewe na huyu Lisu wako mzee wa MIGA
Nimesoma na Tundu Lisu Ilboru, namjua ni mtu mwenye akili sana na hupenda kusoma na pia hupenda na kusimamia haki. Tukiwa ilboru form one kaka yake TL yaani Alute tayari alikua mwanasheria wa serikali Arusha akikaa soweto. You can imagine TL aliweza kumshinda kesi kakake huyo mzoefu wa sheria.MAMBO 11 USIYOYAJUA KUHUSU TUNDU LISSU
1. Je Wajua Tundu Lissu Aliwatoa Gerezani BURE Wananchi 466 Wa Tarime Waliofungwa Kwa Kupinga Mwekezaji Asiwanyanganye Ardhi Yao?
2. Je Wajua Tundu Lissu Alishawai Kupigwa Marufuku Asikanyange Nyamongo Kwasababu Ya Harakati Zake Za Kuwatetea Wananchi Dhidi Ya Wawekezaji?
3. Je Wajua Tundu Lissu Alipambana Na Kaka Yake Alute Lissu Mahakamani Kwenye Kesi Ya Kupinga Ubunge Wa Lema, Alute Akiitetea CCM Na TL CHADEMA?
4. Je Wajua Tundu Lissu Akiwa JKT Itende Alidhaniwa Kuwa "Usalama Wa Taifa" Kutokana Na Tabia Yake Ya KUHOJI Bila Woga?
5. Je Wajua Tundu Lissu Alipambana Na Serikali Ya Mkapa ISIUZE Rufiji Delta Kwa Mwekezaji Nolan, Hadi Bank Ya EIB Ikagoma Kutoa Mkopo Kwa Nolan?
6. Je Wajua Mwaka 2004 Freeman Mbowe Alimuomba Tundu Lissu Ajiunge CHADEMA Baada Ya Kumtetea Chacha Wangwe Kwenye Kesi 10 Za Jinai?
7. Je Wajua Tundu Lissu Alianza Kushtakiwa Kwa "Uchochezi" Mwaka 2001 Na Mpaka Leo Hajawai Kukutwa Na Hatia?
8. Je Wajua Kwenye Kampeni 2010 Kikwete Aliwai Kusema Ni Heri Dr.Slaa Awe Rais Kuliko Tundu Lissu Awe Mbunge?
9. Je Wajua 70% Ya Kesi Anazozisimamia Tundu Lissu Halipwi Chochote Na Watu Anaowatetea, Yeye Hufurahi Akiona Mtu Haonewi Wala Kunyanyaswa?
10. Je Wajua Tundu Lissu Hutumia Mshahara Wake Wa Mbunge Kusafiri Maeneo Mbalimbali Nchini Kuwatetea Walalahoi BURE Mahakamani?
11. Je wajua Tundu Lisu alipigwa risasi 16 hakufa?
C&P
Niliamini hata mimi wanasheria wa CDM wangefungua pingamizi kuweka pingamizi kama ambavyo angefanya Lisu kama ingetokea kwa mbunge yeyote mwingine wa CCMLeo asubuhi nimeaka na mawazo kama haya tofauti kidogo nikiwaza ingekuwa mmbunge yoyote wa CDM kavuliwa ubunge kwa situation yake. Tundu Lissu sasa hivi angekuwa keshafungua kesi ya pingamizi.
hakuna mtu anayepambana na mhuni kama lissu atapayuka mwisho atatulia siasa haitaki mamruki kama lissu
Sijawahi kumuona/kumsikia Lisu akiikashifu nchi.Ila nilishawahi kushuhudia akiwakosoa viongozi vihiyo wasijali wananchi wao.pamoja na hayo yote lakini hafai kuwa rais wa nchi ambayo haipendi kama tz maana huwezi kuikashfu nchi yako mwenyewe halafu uje uombe ridhaa ya kuiongoza hana sifa ya kuwa rais hata kidogo
Nani aliyeondoa walinzi area D getini???sawa ndiyo anaichafua nchi je ni nani/ niwatuwasiojulikana kama unawajuwa hebu wataje maana polisi au mtu yeyote hajawahi kuwaona au kuthibitisha kuwa ni fulani huo ni uhayawani wa lissu tu kuongea asicho kijua hawezi kuongoza nchi