Kwani uko wapi? Tembelea Ngurumo website yake kuna kila kitu ambacho kinafanyika kwa usiriDefinetly I am missing some information
Kwani uko wapi? Tembelea Ngurumo website yake kuna kila kitu ambacho kinafanyika kwa usiriDefinetly I am missing some information
sawa ndiyo anaichafua nchi je ni nani/ niwatuwasiojulikana kama unawajuwa hebu wataje maana polisi au mtu yeyote hajawahi kuwaona au kuthibitisha kuwa ni fulani huo ni uhayawani wa lissu tu kuongea asicho kijua hawezi kuongoza nchiAnayeteka,kutesa na kuua wapinzani ndiye anaichafua nchi.
utakuwa na matatizo ya akili kama hujui kama lissu alichafua nchi huko ughaibuni huku akijifanya mgonjwa huku akizurura bila sababu huyo ni mhuni kama walivyo wahuni wengine tuBwege wewe lini Lisu kaikashifu nchi? Hivi nyie Inzi wa kijani uelewa wenu mbona upo chini Kiasi hicho
Kwa vipi ameichafua nchi? Una mapungufu ya kufikiri kidogo. Siyo kosa lakopamoja na hayo yote lakini hafai kuwa rais wa nchi ambayo haipendi kama tz maana huwezi kuikashfu nchi yako mwenyewe halafu uje uombe ridhaa ya kuiongoza hana sifa ya kuwa rais hata kidogo
Aisee! Kipindi cha kampeni atapata tabu sana, ndio maana yupo bize kutaka kufuta upinzani ili yasizungumuzwe kumbe ndo ameongeza petrol kwenye motoIkweta , you are less informed, juzi si alikuwa Kragwe akionekana kumpa hela mtoto barabarani. Alikuwa anatoka kwenye ranchi yake!
lete na ya NDUGAIMAMBO 11 USIYOYAJUA KUHUSU TUNDU LISSU
1. Je Wajua Tundu Lissu Aliwatoa Gerezani BURE Wananchi 466 Wa Tarime Waliofungwa Kwa Kupinga Mwekezaji Asiwanyanganye Ardhi Yao?
2. Je Wajua Tundu Lissu Alishawai Kupigwa Marufuku Asikanyange Nyamongo Kwasababu Ya Harakati Zake Za Kuwatetea Wananchi Dhidi Ya Wawekezaji?
3. Je Wajua Tundu Lissu Alipambana Na Kaka Yake Alute Lissu Mahakamani Kwenye Kesi Ya Kupinga Ubunge Wa Lema, Alute Akiitetea CCM Na TL CHADEMA?
4. Je Wajua Tundu Lissu Akiwa JKT Itende Alidhaniwa Kuwa "Usalama Wa Taifa" Kutokana Na Tabia Yake Ya KUHOJI Bila Woga?
5. Je Wajua Tundu Lissu Alipambana Na Serikali Ya Mkapa ISIUZE Rufiji Delta Kwa Mwekezaji Nolan, Hadi Bank Ya EIB Ikagoma Kutoa Mkopo Kwa Nolan?
6. Je Wajua Mwaka 2004 Freeman Mbowe Alimuomba Tundu Lissu Ajiunge CHADEMA Baada Ya Kumtetea Chacha Wangwe Kwenye Kesi 10 Za Jinai?
7. Je Wajua Tundu Lissu Alianza Kushtakiwa Kwa "Uchochezi" Mwaka 2001 Na Mpaka Leo Hajawai Kukutwa Na Hatia?
8. Je Wajua Kwenye Kampeni 2010 Kikwete Aliwai Kusema Ni Heri Dr.Slaa Awe Rais Kuliko Tundu Lissu Awe Mbunge?
9. Je Wajua 70% Ya Kesi Anazozisimamia Tundu Lissu Halipwi Chochote Na Watu Anaowatetea, Yeye Hufurahi Akiona Mtu Haonewi Wala Kunyanyaswa?
10. Je Wajua Tundu Lissu Hutumia Mshahara Wake Wa Mbunge Kusafiri Maeneo Mbalimbali Nchini Kuwatetea Walalahoi BURE Mahakamani?
11. Je wajua Tundu Lisu alipigwa risasi 16 hakufa?
C&P
huyu jamaa hajitambui, haya ni yale yaliyopata divisheni ziro huko mjini magharibiKwa vipi ameichafua nchi? Una mapungufu ya kufikiri kidogo. Siyo kosa lako
ndugai hajatia aibu nchi anatekeleza matawa ya sheria ambayo hata lissu anaijua ila anataka huruma tu eti kwa sababui alipigwa risasi kwani hana chama cha kumuombea ruhusa au hakuweza kuandika barua ya ruhusa mbona kuzurura anaweza na kwenda kutukana hovyo huko ulaya anakula jeuri yakeNdungai kaleta aibu kubwa katika taifa letu.
pamoja na hayo yote lakini hafai kuwa rais wa nchi ambayo haipendi kama tz maana huwezi kuikashfu nchi yako mwenyewe halafu uje uombe ridhaa ya kuiongoza hana sifa ya kuwa rais hata kidogo
Tatizo mnajifanya hamuelewi wakati ukweli mnaujua, haya hebu orodhesha kashfa unazosema hapa ili tuzijadiri tujiridhishe kama ni kweli.Mkuu jenga hoja usitukane, tumia hekima katika kuwasilisha hoja zako.
Wewe ni fool: DO NOT ARGUE WITH A FOOL, PEOPLE MIGHT NOT NOTICE THE DIFFERENCEndugai hajatia aibu nchi anatekeleza matawa ya sheria ambayo hata lissu anaijua ila anataka huruma tu eti kwa sababui alipigwa risasi kwani hana chama cha kumuombea ruhusa au hakuweza kuandika barua ya ruhusa mbona kuzurura anaweza na kwenda kutukana hovyo huko ulaya anakula jeuri yake
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂8. Je Wajua Kwenye Kampeni 2010 Kikwete Aliwai Kusema Ni Heri Dr.Slaa Awe Rais Kuliko Tundu Lissu Awe Mbunge?
huu mchezo hautaki hasira yeye alijifanya mjanja sana eti anajuwa sheria aende mahakamani aone watu wanavyojuwa sheria na katiba huyo mhuni tuWewe ni fool: DO NOT ARGUE WITH A FOOL, PEOPLE MIGHT NOT NOTICE THE DIFFERENCE
unataka kuziba jua kwa kiganja cha mkono?sawa ndiyo anaichafua nchi je ni nani/ niwatuwasiojulikana kama unawajuwa hebu wataje maana polisi au mtu yeyote hajawahi kuwaona au kuthibitisha kuwa ni fulani huo ni uhayawani wa lissu tu kuongea asicho kijua hawezi kuongoza nchi
wewe unaweza?huna hojaunataka kuziba jua kwa kiganja cha mkono?
Jamani ukisikia kuna wajukuu wa Mitume ndiye huyu Jamaa.. daaah, Watapambana nae Watashindwa mwisho wa Siku....MAMBO 11 USIYOYAJUA KUHUSU TUNDU LISSU
1. Je Wajua Tundu Lissu Aliwatoa Gerezani BURE Wananchi 466 Wa Tarime Waliofungwa Kwa Kupinga Mwekezaji Asiwanyanganye Ardhi Yao?
2. Je Wajua Tundu Lissu Alishawai Kupigwa Marufuku Asikanyange Nyamongo Kwasababu Ya Harakati Zake Za Kuwatetea Wananchi Dhidi Ya Wawekezaji?
3. Je Wajua Tundu Lissu Alipambana Na Kaka Yake Alute Lissu Mahakamani Kwenye Kesi Ya Kupinga Ubunge Wa Lema, Alute Akiitetea CCM Na TL CHADEMA?
4. Je Wajua Tundu Lissu Akiwa JKT Itende Alidhaniwa Kuwa "Usalama Wa Taifa" Kutokana Na Tabia Yake Ya KUHOJI Bila Woga?
5. Je Wajua Tundu Lissu Alipambana Na Serikali Ya Mkapa ISIUZE Rufiji Delta Kwa Mwekezaji Nolan, Hadi Bank Ya EIB Ikagoma Kutoa Mkopo Kwa Nolan?
6. Je Wajua Mwaka 2004 Freeman Mbowe Alimuomba Tundu Lissu Ajiunge CHADEMA Baada Ya Kumtetea Chacha Wangwe Kwenye Kesi 10 Za Jinai?
7. Je Wajua Tundu Lissu Alianza Kushtakiwa Kwa "Uchochezi" Mwaka 2001 Na Mpaka Leo Hajawai Kukutwa Na Hatia?
8. Je Wajua Kwenye Kampeni 2010 Kikwete Aliwai Kusema Ni Heri Dr.Slaa Awe Rais Kuliko Tundu Lissu Awe Mbunge?
9. Je Wajua 70% Ya Kesi Anazozisimamia Tundu Lissu Halipwi Chochote Na Watu Anaowatetea, Yeye Hufurahi Akiona Mtu Haonewi Wala Kunyanyaswa?
10. Je Wajua Tundu Lissu Hutumia Mshahara Wake Wa Mbunge Kusafiri Maeneo Mbalimbali Nchini Kuwatetea Walalahoi BURE Mahakamani?
11. Je wajua Tundu Lisu alipigwa risasi 16 hakufa?
C&P
Hotuba zake zote niliziona sasa wewe andika/orodhesha hapa hizo kashfa ili tuzijadiri tujiridhishe kama ni kweli alikashfu nchi, msifikiri na sisi ni misukule kama ya lumumbautakuwa na matatizo ya akili kama hujui kama lissu alichafua nchi huko ughaibuni huku akijifanya mgonjwa huku akizurura bila sababu huyo ni mhuni kama walivyo wahuni wengine tu
hakuna mtu anayepambana na mhuni kama lissu atapayuka mwisho atatulia siasa haitaki mamruki kama lissuJamani ukisikia kuna wajukuu wa Mitume ndiye huyu Jamaa.. daaah, Watapambana nae Watashindwa mwisho wa Siku....
lumumba hakuna misukule pale kuna watu na akili zao ufipa ndiyo yamejaa mashoga matupu hayana kazi ya kufanyaHotuba zake zote niliziona sasa wewe andika/orodhesha hapa hizo kashfa ili tuzijadiri tujiridhishe kama ni kweli alikashfu nchi, msifikiri na sisi ni misukule kama ya lumumba