Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,467
- 113,567
Wanabodi,
Tangu kutokea kwa Msiba wa Mzee Reginald Mengi, kuna mengi makubwa, mazuri yamesemwa kumhusu Mzee Mengi kwa mengi aliyoyatenda, ila kuna moja kubwa na zuri sikubahatika kulisikia likisemwa, kwa vile mimi niliwahi kuzungumza nae kuhusu hili, nikaona ni vema nami niliseme.
Mzee Mengi alidhamiria kusaidia kuboresha bidhaa za Tanzania ziwe na ubora kama wa bidhaa kutoka nchi ya Uturuki.
RIP Mzee Wetu Reginald Abrahamu Mengi.
Paskali