Usiyoyajua Kuhusu Reginald Mengi, Alidhamiria Kuibadili Tanzania Izalishe Bidhaa Bora Kama za Uturuki.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
37,962
2,000

Wanabodi,
Tangu kutokea kwa Msiba wa Mzee Reginald Mengi, kuna mengi makubwa, mazuri yamesemwa kumhusu Mzee Mengi kwa mengi aliyoyatenda, ila kuna moja kubwa na zuri sikubahatika kulisikia likisemwa, kwa vile mimi niliwahi kuzungumza nae kuhusu hili, nikaona ni vema nami niliseme.

Mzee Mengi alidhamiria kusaidia kuboresha bidhaa za Tanzania ziwe na ubora kama wa bidhaa kutoka nchi ya Uturuki.

RIP Mzee Wetu Reginald Abrahamu Mengi.
Paskali
 
Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
13,838

Mayalla uwakumbushe wote wanaoteka watu kuwaua na kuwaumiza wengine kuwa sote ni wa kufa .

RIP Dr Mengi umetuachia Nyang'au
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
38,364
2,000

Wanabodi,
Tangu kutokea kwa Msiba wa Mzee Reginald Mengi, kuna mengi makubwa, mazuri yamesemwa kumhusu Mzee Mengi kwa mengi aliyoyatenda, ila kuna moja kubwa na zuri sikubahatika kulisikia likisemwa, kwa vile mimi niliwahi kuzungumza nae kuhusu hili, nikaona ni vema nami niliseme.

Mzee Mengi alidhamiria kusaidia kuboresha bidhaa za Tanzania ziwe na ubora kama wa bidhaa kutoka nchi ya Uturuki.

RIP Mzee Wetu Reginald Abrahamu Mengi.
Paskali

Hizo ni sifa za marehemu. Kashindwa huku nyuma akiwa below 70's ndio angeweza akiwa above 70's. Paskali acha hizo boss. Hatukatai kwamba alikuwa ni mfanyabiashara mbunifu, lakini usitake kumnenepeshea ng'ombe mnadani.
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
26,763
2,000

Wanabodi,
Tangu kutokea kwa Msiba wa Mzee Reginald Mengi, kuna mengi makubwa, mazuri yamesemwa kumhusu Mzee Mengi kwa mengi aliyoyatenda, ila kuna moja kubwa na zuri sikubahatika kulisikia likisemwa, kwa vile mimi niliwahi kuzungumza nae kuhusu hili, nikaona ni vema nami niliseme.

Mzee Mengi alidhamiria kusaidia kuboresha bidhaa za Tanzania ziwe na ubora kama wa bidhaa kutoka nchi ya Uturuki.

RIP Mzee Wetu Reginald Abrahamu Mengi.
Paskali
Hivi Uturuki iko kwenye orodha ya nchi zenye "jeuri" ya kutengeneza vitu bora duniani? Naomba evidence nielimike. najua kuwa wana viwanda lkn ubora wake nina mashaka nao kidogo! Labda tumewazoea na kudanganywa na "mabeberu" wa USA, Western Europe kuwa wao ndio alpha na Omega kwa ubora wa bidhaa bora toka viwandani!
 
kbosho

JF-Expert Member
Jun 4, 2012
13,022
2,000
R. I. P tajiri Mzawa. Umewafanya wengi waamini kila kitu kinawezekana chini ya Juwa. Hata Liverpool jana wamefanya hivyo hivyo. R. I. P mzee wa watu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom