Usiyoyajua kuhusu mji wa Songea

lodirofaa

Member
Jul 6, 2021
25
62
Mji wa songea upo mkoani Ruvuma ndiyo manispaa pekee iliyopo katika mkoa wa Ruvuma

Huu mji bhana ukiwa meajiriwa unakufaa kuishi na hutopata tabu Ila ukiwa mtafutaji wa kilasiku songea ni ngumu

Kma unalipwa mshahara mfano 300000 Songea usipojenga wewe mzembe sahani ya wali inaanzia 500 na kuendelea vyumba vya kupanga vinaanzia Bei ya 5000 kuendelea nyumba yenye umeme inaanzia 10000 kuendelea self contained unaanzia 20000 kuendelea unapanga nyumba inamaji, umeme, vyumba vitatu ndani si ajabu ukalipa 60000 kw mwezi

Kwenye kuoa sasa huku unatoa barua tu 100000 mahari sio lazima huku watu hawatoi mahari

Kujenga sasa
Uwanja robo heka inaanzia 500000 ni eneo lina kila kitu

Huku tunajengea tofari za tope tofari moja Tsh 100 ukiw na tofari 12000 unajenga nyumba kubwaa fundi kukujengea nyumba unamlipa mpka 500000 nyumba inaisha

Yaani haya ni machache tu kuhusu songea kama ukiajiliwa ukapangiwa Songea sema Asante mungu
 
Kabisa yani. Hiyo mitaa ukimwambia mtu unaishi anapata mawazo yake juu yako. Bombambili ndio mtaa unaoeleweka kule
Kuna mtaa wa Ruvuma ni uswazi kinyama sijajua kama siku hizi kumebadilika, yani miaka ile ya nyuma mtaa uliokuwa una dharaulika sana basi ni Ruvuma
 
Back
Top Bottom