Usiyoyajua kuhusu mji wa Songea

IJIGHA NDIO HOME

JF-Expert Member
Jul 13, 2019
646
1,000
side effect yake ni kua mabint wanaanza umalaya mapema usishangae kuona bint anamiaka 17 anawatoto wawili na mimbA
 

sinajinasasa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
2,903
2,000
Mji wa songea upo mkoani Ruvuma ndiyo manispaa pekee iliyopo katika mkoa wa Ruvuma

Huu mji bhana ukiwa meajiriwa unakufaa kuishi na hutopata tabu Ila ukiwa mtafutaji wa kilasiku songea Ni ngumu

Kma unalipwa mshahara mfano 300000 songea usipojenga wewe mzembe sahani ya wali inaanzia 500 na kuendelea vyumba vya kupanga vinaanzia Bei ya 5000 kuendelea nyumba yenye umeme inaanzia 10000 kuendelea self contained unaanzia 20000 kuendelea unapanga nyumba inamaji,umeme,vyumba vitatu ndani SI ajabu ukalipa 60000 kw mwezi

Kwenye kuoa Sasa huku unatoa barua tu 100000 mahari sio lazima huku watu hawato mahari

Kujenga Sasa
Uwanja robo heka inaanzia 500000 ni eneo linakilakitu

Huku tunajengea tofari za tope tofari moja tsh 100 ukiw na tofari 12000 unajenga nyumba kubwaa fundi kukujengea nyumba unamlipa mpka 500000 nyumba inaisha

Yaani haya ni machache tu kuhusu songea Kama ukiajiliwa ukapangiwa Songea sema Asante mungu
Vipi huko huduma za maji namaanisha, nje ya mji maji yanapatikana kirahisi au maji ya kununua kuna sehemu Tanzania hii maji shida huwezi hata kulima kwenye backyard
 

andjul

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
18,141
2,000
Kwema anko...Shangazi anaendeleaje.?

Dah anko, sio mbaya karibu tena wakati mwingine usinisahau mjukuu
Mungu ni mwema tupo vizuri.
Utanishtua mtaa wa kubisha hodi, maana huwa nafikia karibu na hospitali ile ya barabara (makutano) ya kulia ukitokea Bombambili kwenda mjini
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom