Usiyoyajua kuhusu michuano ya klabu bingwa ulaya (Uefa Champions League)

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,743
25,535
1.Arsenal wanashikilia rekodi ya kuwa timu pekee kucheza mechi ya UEFA ikiwa na wachezaji 11 wa mataifa 11 tofauti. Yaani kila mchezaji alikuwa na taifa lake!

2.Real Madrid inashikilia rekodi ya kuchukua kombe mara nyingi zaidi ikiwa imechukua mara 11. Pia ikiwa timu iliyochukua kombe mara tano mfululizo (wakati likiitwa “European cup”) kuanzia mwaka 1956 mpaka 1960

3. Barcelona inashikilia rekodi ya kufika nusu fainali sita mfululizo

4.Ni wachezaji wawili tu waliowahi kuoneshwa kadi nyekundu katika mchezo wa fainali ya uefa Jens Lehmann (Arsenal) katika fainali ya 2006 na Didier Drogba (Chelsea), Timu zao zilipoteza michezo hiyo.

5. Klabu za Hispania ndio zinaongoza kuchukua kikombe cha uefa mara 14 (real madrid na barcelona pekee). Wakifuatiwa na vilabu vya England na Italia mara 12.

6.Benifica inashikilia rekodi ya kushinda magoli mengi zaidi katika mechi mbili za hatua ya mtoano ilishinda jumla ya mabao 18-0 dhidi ya Dudelange. Mechi ya kwanza benifica ilishinda 8-0 na mechi ya pili 10-0

7.Atletico Madrid imefika fainali ya uefa mara tatu tu, ya kwanza ikiwa mwaka 1974 dhidi ya Bayern munich ambapo mechi iliisha kwa sare ya moja kwa moja na kuamuliwa irudiwe siku mbili baadae na Bayern kushinda 4-0. Ya pili ilikuwa ya mwaka 2014 ambapo walicheza dhidi ya r.madrid na real kushinda mabao 4-1.

8.Mchezaji mkubwa zaidi kucheza UEFA ni Marco Ballotta wa Lazio akiwa na miaka 43 huku mchezaji mdogo zaidi kucheza uefa akiwa ni muafrika Celestine Babayaro akiwa na miaka 16!

9.Mwaka 1967 Celtic ilibeba kombe ikiwa na wachezaji wote wazaliwa wa eneo moja la kilometa 50 kuzunguka uwanja wao wa nyumbani.

10.Goli la mapema zaidi kufungwa lilikuwa la mchezaji wa Bayern muchen Roy Makaay, sekunde 10 tu baada ya mchezo kuanza!

Cc : Askari Muoga
 
Mkuu umetudanganya,hapo Spain kwa upande wa Madrid anayo 11 na Barca anayo 5...total ni 16,sasa nashindwa kukupata unaposema vilabu Vya Spain vinaongoza kwa kuchukua mara 14,kama umepick somewhere izo Info's basi zitakuwa Out Of Date!
 
1.Arsenal wanashikilia rekodi ya kuwa timu pekee kucheza mechi ya UEFA ikiwa na wachezaji 11 wa mataifa 11 tofauti. Yaani kila mchezaji alikuwa na taifa lake!

2.Real Madrid inashikilia rekodi ya kuchukua kombe mara nyingi zaidi ikiwa imechukua mara 11. Pia ikiwa timu iliyochukua kombe mara tano mfululizo (wakati likiitwa “European cup”) kuanzia mwaka 1956 mpaka 1960

3. Barcelona inashikilia rekodi ya kufika nusu fainali sita mfululizo

4.Ni wachezaji wawili tu waliowahi kuoneshwa kadi nyekundu katika mchezo wa fainali ya uefa Jens Lehmann (Arsenal) katika fainali ya 2006 na Didier Drogba (Chelsea), Timu zao zilipoteza michezo hiyo.

5. Klabu za Hispania ndio zinaongoza kuchukua kikombe cha uefa mara 14 (real madrid na barcelona pekee). Wakifuatiwa na vilabu vya England na Italia mara 12.

6.Benifica inashikilia rekodi ya kushinda magoli mengi zaidi katika mechi mbili za hatua ya mtoano ilishinda jumla ya mabao 18-0 dhidi ya Dudelange. Mechi ya kwanza benifica ilishinda 8-0 na mechi ya pili 10-0

7.Atletico Madrid imefika fainali ya uefa mara mbili tu, ya kwanza ikiwa mwaka 1974 dhidi ya Bayern munich ambapo mechi iliisha kwa sare ya moja kwa moja na kuamuliwa irudiwe siku mbili baadae na Bayern kushinda 4-0. Ya pili ilikuwa ya mwaka 2014 ambapo walicheza dhidi ya r.madrid na real kushinda mabao 4-1.

8.Mchezaji mkubwa zaidi kucheza UEFA ni Marco Ballotta wa lazio akiwa na miaka 43 huku mchezaji mdogo zaidi kucheza uefa akiwa ni muafrika Celestine Babayaro akiwa na miaka 16!

9.Mwaka 1967 Celtic ilibeba kombe ikiwa na wachezaji wote wazaliwa wa eneo moja la kilometa 50 kuzunguka uwanja wao wa nyumbani.

10.Goli la mapema zaidi kufungwa lilikuwa la mchezaji wa Bayern muchen Roy Makaay, sekunde 10 tu baada ya mchezo kuanza!

Cc : Askari Muoga

Pleaz!...Check this: List of UEFA club competition winners - Wikipedia
 
Kama hutojali weka na hii...mchezaji pekee humu duniani mwenye magoli mengi kuliko wote kuwahi kutokea na hadi Sasa kwenye michuano hiyo ya ligi ya mabingwa barani ulaya(UEFA-CHAMPIONS-LEAGUE) na aliyezizidi magoli club kubwa kama AleticoMadrid,SL Benefica ,Celtic,Marseille,PSV,ManCity,Tott-Spurs na nyenginezo malizieni...Si Mwengine LADYS AND GENTLEMENS...I Present to You all...The One&Only CRISTIANO RONALDO!!! [RECORD]

C-5UzqrXgAAqb5y.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom